Yaani huyo imeshakula kwake, huko kwenye uabdallah hakubaliki na kwenye uedward haaminiki tena. Eti anadai kuwachangia wamanchinga mwanza halaf pesa anamkabidhi bilionea mwenzake, machinga pia hawamwamini tena. Labda akomae na saccoss za walimu jimboni kwake zitamtoa.Hujajua?siku hizi Edward Lowassa anaitwa ABDALLAH LOWASSA!Chezea urais wewe!!!
Mfano Arusha yenye wilaya sita,ukiondoa arusha mjini na karatu kote ni maccm,kilimanjaro kwenye wilaya sita ukiondoa hai na moshi mjini kote utakapoenda ni maccm,lakini tathimini ilivyo magwanda wataingiza idadi kubwa ya wabunge lakini hawatashinda nafasi ya urais
mfano,Geita,Tanga,bagamoyo,lindi,mtwara,pwani na rukwa.huko idadi ya raia ni ndogo alafu ndio inaongoza kwa njaa na umasikini.ukiwapa khanga wanatunza kabatini hadi sikukuu
hilo la Iramba kwenda CDM sahau kabisa . Mimi nilifikiri mtapata busara baada ya rafiki yenu na pia mpiga kampeini kwa rafiki yenu mwingine wa Kenya kushughulikiwa kwa dhati na kikongwe wa Zimbabwe. Kwa matokeo ya Zimbabwe jamani mtulie kwa mwendo wa daktari kuwapiga dawa chungu kama x-pen lakini inatibu mapema , hebu mtulie dawa iingie vizuri
Unajidanganya Ndugu, Mwakani sio Mbali, Tusubiri Kura za serekali za Mtaa. Ila mimi naami mmebakiza Pwani tu. Na kwenye Uraisi Kete yenu ya Udini wa Msikitini itakuwa haina Nguvu tena, Kwani Sitegemei Mwiislam Mwingine kuwa Mgombe wa MACCM, Nijuavyo ni Membe au Lowassa.
You are wrong my friend ! mdc walikubali ndoa ya mkeka usiwashabiishe na CHADEMA , huu ni Muziki tofauti , cdm wakiweza kuzuia wizi wa kura tu ( mbinu pekee inayotegemewa na ccm ) wamechukua nchi , hakuna kizuizi , hakuna , muweke Membe , Lowasa , Kamuhanda , Chagonja au wote kwa mpigo hakuna tena nafasi kwa magamba .
Ktk mikoa ya Ruvuma,Mtwara,Lindi,ambako mlikuwa mnazoa kura hiyo imebakia historia tu,ccm hamtakiwi hata kidogo.mfano juzi Mbunge wa newala aliandaa futari kwa wananchi ili kujipendekeza matokeo watu wakaisusa na ilibidi awape wafungwa ndio walio kula.
hilo la Iramba kwenda CDM sahau kabisa . Mimi nilifikiri mtapata busara baada ya rafiki yenu na pia mpiga kampeini kwa rafiki yenu mwingine wa Kenya kushughulikiwa kwa dhati na kikongwe wa Zimbabwe. Kwa matokeo ya Zimbabwe jamani mtulie kwa mwendo wa daktari kuwapiga dawa chungu kama x-pen lakini inatibu mapema , hebu mtulie dawa iingie vizuri
Mkuu mikoa ifuatayo ccm iko juu mno na 2015 wala hatutatumia nguvu kubwa kwenyebkampeni: Tanga,Tabora,Singida, Mtwara, Songea, Morogoro, Mwanza(3/4) Musoma (3/4) Bukoba (asilimia 90%), Pwani , Lindi, Iringa( 3/4), Mbeya (1/2) Shinyanga( 1/2) , Arusha (1/4), Kilimanyaro ( 1/2) na mnyara ( 1/2) maeneo yote ambayo sikuweka asilimia ninmaeneo ambay ccm itapata kura za kishindo yaani asilimia tisini na kuendelea. Nyie endeleeni kupiga porojo tu.
Wakuu naomba mnisaidie hasa wana CCM wenzangu kwa sasa stronghold yetu iko sehemu gani ya Tanzania?. Kwa sababu Visiwani ni CUF wanatamba, kasikazini na kasikazini magharibi ni CDM inatamba Magaribl na kusini magaribi ni CDM na NCCR wanatamia. Kusini kwa gesi haitoki wote tunaelewa , kwa hali ilivyo sasa tunaweza hata tusipate mgombea uchaguzi ukifanyika huko sasa.
Hapo ndipo najiuliza strong hold yetu ni ipi?
mikoa ambayo watu hawana uwezo wa kulinda kura zaoWakuu naomba mnisaidie hasa wana CCM wenzangu kwa sasa stronghold yetu iko sehemu gani ya Tanzania?. Kwa sababu Visiwani ni CUF wanatamba, kasikazini na kasikazini magharibi ni CDM inatamba Magaribl na kusini magaribi ni CDM na NCCR wanatamia. Kusini kwa gesi haitoki wote tunaelewa , kwa hali ilivyo sasa tunaweza hata tusipate mgombea uchaguzi ukifanyika huko sasa.
Hapo ndipo najiuliza strong hold yetu ni ipi?
Wakuu naomba mnisaidie hasa wana CCM wenzangu kwa sasa stronghold yetu iko sehemu gani ya Tanzania?. Kwa sababu Visiwani ni CUF wanatamba, kasikazini na kasikazini magharibi ni CDM inatamba Magaribl na kusini magaribi ni CDM na NCCR wanatamia. Kusini kwa gesi haitoki wote tunaelewa , kwa hali ilivyo sasa tunaweza hata tusipate mgombea uchaguzi ukifanyika huko sasa.
Hapo ndipo najiuliza strong hold yetu ni ipi?
Hujajua?siku hizi Edward Lowassa anaitwa ABDALLAH LOWASSA!Chezea urais wewe!!!
Wakuu naomba mnisaidie hasa wana CCM wenzangu kwa sasa stronghold yetu iko sehemu gani ya Tanzania?. Kwa sababu Visiwani ni CUF wanatamba, kasikazini na kasikazini magharibi ni CDM inatamba Magaribl na kusini magaribi ni CDM na NCCR wanatamia. Kusini kwa gesi haitoki wote tunaelewa , kwa hali ilivyo sasa tunaweza hata tusipate mgombea uchaguzi ukifanyika huko sasa.
Hapo ndipo najiuliza strong hold yetu ni ipi?
No doubt anaumwa huyo mtu!!!!kuna jamaa ameniibox hapa na kusema kuwa strong hold yao ni Arusha Moshi na Mwanza il abado wanatafakari mbinu mpya ya CHADEMA ya wizi wa kura katika mikoa hiyo kama CHADEMA ilivyoiba kura kiana hivi karibuni Arusha.
TANGA ndio stronghold ya CCM. Wabunge wa majimbo yote ya Tanga ni wa CCM. Wakuu wa wilaya wote ni CCM. Mkuu wa mkoa ni CCM. Madiwani wote mkoa mzima wote ni CCM. Kila kitu Tanga ni CCMWakuu naomba mnisaidie hasa wana CCM wenzangu kwa sasa stronghold yetu iko sehemu gani ya Tanzania?. Kwa sababu Visiwani ni CUF wanatamba, kasikazini na kasikazini magharibi ni CDM inatamba Magaribl na kusini magaribi ni CDM na NCCR wanatamia. Kusini kwa gesi haitoki wote tunaelewa , kwa hali ilivyo sasa tunaweza hata tusipate mgombea uchaguzi ukifanyika huko sasa. Hapo ndipo najiuliza strong hold yetu ni ipi?
you are wrong my friend ! Mdc walikubali ndoa ya mkeka usiwashabiishe na chadema , huu ni muziki tofauti , cdm wakiweza kuzuia wizi wa kura tu ( mbinu pekee inayotegemewa na ccm ) wamechukua nchi , hakuna kizuizi , hakuna , muweke membe , lowasa , kamuhanda , chagonja au wote kwa mpigo hakuna tena nafasi kwa magamba .