Makupa Tanzania hakuna mikoa hii- Songea, Bukoba, Musoma.
RC wake ni ISRAELHA HA HA HA huo mkoa RC wake nani
...
msoga tu.....
hata hapo pana tatizo kidogo kuwaamini kwani wamesha funguka. Lumumba penyewe wamepasuka, Mwingulu na shza walisema Arusha yote wanachukua kwa kishindo hii ndiyo sumu itakayo iua ccm. Bado wanadhani Watanzania wa leo ni wale wale wa kanga na green vest yenye sanamu ya mtu nyuma. Poleni.
eehee tena huyo MULONGO ndiyo ISRAEL mwenyewe . nakupa tu taarifa sasa hivi CCM hawana pa kutokea yaani wamefika mahali NO BORDER NO ENTRYIsrael Mulongo AU ISRAEL Bunamba wa RTD singida?
Wakuu naomba mnisaidie hasa wana CCM wenzangu kwa sasa stronghold yetu iko sehemu gani ya Tanzania?. Kwa sababu Visiwani ni CUF wanatamba, kasikazini na kasikazini magharibi ni CDM inatamba Magaribl na kusini magaribi ni CDM na NCCR wanatamia. Kusini kwa gesi haitoki wote tunaelewa , kwa hali ilivyo sasa tunaweza hata tusipate mgombea uchaguzi ukifanyika huko sasa.
Hapo ndipo najiuliza strong hold yetu ni ipi?
Sehemu zenye njaa kali sana kama maeneo ya IRAMBA , kondoa na yale maeneo ambayo kilo ya sukari au unga ni habari , mtaji mkubwa sana wa ccm ni zile sehemu zenye jamii duni sana kama vile Monduli , maeneo yenye elimu duni ndiyo ngome yao , hebu fuatilia elimu ya wajumbe wao wa nyumba 10 au hata wenyeviti wa matawi yao , wengi wao hawajui kusoma na hata kuandika !
Stronghold ya CCM imebaki kwenye wizi wa kura tuWakuu naomba mnisaidie hasa wana CCM wenzangu kwa sasa stronghold yetu iko sehemu gani ya Tanzania?. Kwa sababu Visiwani ni CUF wanatamba, kasikazini na kasikazini magharibi ni CDM inatamba Magaribl na kusini magaribi ni CDM na NCCR wanatamia. Kusini kwa gesi haitoki wote tunaelewa , kwa hali ilivyo sasa tunaweza hata tusipate mgombea uchaguzi ukifanyika huko sasa.
Hapo ndipo najiuliza strong hold yetu ni ipi?
Magogoni, PoliCCM na Usalama wa taifa ndo iliko ngome ya CCM!!!!
ina maana hata Iramba tayari imechukuliwa na wapinzani? si mmesikia jana Mwigulu anawaonya watu wa Iramba kuwa wataoishabikia CHADEMA wataipata freshi na yatakayoyapata wasilaumu mtu je hapo bado vyama vya upinzani vina chake?
hayo yalikuwa maneno ya hasira za Mh. Mchemba baada ya kukuta watu wasiozidi 45 pamoja na waandishi wake anao wapa buku 7. Ukumbi aliokodisha ukamdodea, viti vikamwangalia, We ni mgeni wa Wa-Tz wa leo? Nani anatamani siasa za maji taka na matusi? Wakamwuliza mijitusi hiyo inaleta maendeleo gani Iramba? Je, tulikuchagua ukawe muuza matusi majimboni? Mh. Kimyaaaa. Kama kawa yao akaamka na hayo matishio. Acha Banaaa, Ungekuwapo ungemhurumia alivyotoa povu. Tesha pia hakuhudhuria angewaonyesha mfano. Iramba hiyoooo cdm 2015.
ina maana hata Iramba tayari imechukuliwa na wapinzani? si mmesikia jana Mwigulu anawaonya watu wa Iramba kuwa wataoishabikia CHADEMA wataipata freshi na yatakayoyapata wasilaumu mtu je hapo bado vyama vya upinzani vina chake?
...kumbe "ccm" wakiwapa elimu mnawakimbia! Mi nilidhani wasio na elimu au maendeleo ndio wangekuwa wa kwanza kuchagua upinzani.