“Strong Blood Ties” Vs “Strong Love Ties”

Nimejifunza mengi kwenye hii thread.
Kuna vitu vimenikumbusha wakati nipo mtoto nilivyokuwa nadeka kwa baba lakini kwa mama ilikuwa tofauti

kudeka kwa baba?????/

una bahati aisee lol

kuna jamaa mmoja namjua....alipotaka ku sex for the first time....alikuwa 17
alimwambia baba yake.....mwanzo mwisho....na siku aliyo du tu...
akakimbilia kwa baba yake kumwambia....nilimuonea wivu saana lol
 
Now that's just TMI!
 
Family re-union!!
FamilyReunionPreview.jpg
 
Too much information (to be telling his dad).

Unajua nacheka mwenyewe hapa...najiuliza sijui mshua alisema nini alipoambiwa hivyo!

yaani huwezi amini.tulikuwa wengi tunashangaa jinsi yeye na baba yake walivyokuwa close...
mdingi wake alicheka cheka tu....nakumbuka alikuwa anamsisitiza condom tu....
 
unajua kuna culture hasa baadhi ya waarabu
watoto wa kiume wanakuwa wanaletewa mpaka wanawake[mostly prostitues]

nahisi ni katika kuogopa watakuwa gays...lol

nilisoma gazeti la forbes....zile shule za watoto ambao wazazi wao ni kings,presidents na billionaires of this world

ipo moja swissland ambayo alisoma the aga khan....na wengine rich n famous....

ilikuwa kawaida kwa watoto wa kiarabu kufuatwa na ma limousines na kupelekwa kwenye mahoteli
ambako wanawake waliandaliwa kuwahudumia.....kila wiki ilikuwa hivyo....
nakumbuka shule inaitwa eaton high school.....
 
Yaani angle zako huwa zinanimaliza... Ziko so original na applicable to most.... Hapo ni the Majority na nimeshuhudia in many families... SAD.

ni changamoto kwetu wote...
hatuko comfortable kuona watu wazima wakibusiana hadharani..

lakini tumejikuta tumezoea kuona watu wazima wakifokeana na hata kudundana hadharani.....

what does that says about us???????/
 
unajua kuna culture hasa baadhi ya waarabu
watoto wa kiume wanakuwa wanaletewa mpaka wanawake[mostly prostitues]

nahisi ni katika kuogopa watakuwa gays...lol

nilisoma gazeti la forbes....zile shule za watoto ambao wazazi wao ni kings,presidents na billionaires of this world

ipo moja swissland ambayo alisoma the aga khan....na wengine rich n famous....

ilikuwa kawaida kwa watoto wa kiarabu kufuatwa na ma limousines na kupelekwa kwenye mahoteli
ambako wanawake waliandaliwa kuwahudumia.....kila wiki ilikuwa hivyo....
nakumbuka shule inaitwa eaton high school.....

Boss bana...sasa kwani mtu hawezi kulala na wanawake halafu akawa gay? Ukipata muda hebu mgoogle gavana wa zamani wa New Jersey, Jim McGreevey.

Haya mambo ya nani gay na nani si gay ni siri ya mtu moyoni (hususan kama huyo mtu hayuko wazi kuhusu huo mwelekeo wake). Kwa hiyo usione mtu ana mke na watoto wawili au watatu ukadhani haiwezekani yeye kuwa gay.

Sasa hao Waarabu sijui ndiyo wanafanya nini tu.
 
nakubaliana na wewe
ndo maana nikasema its culture.....
waarabu wana mambo wanafanya huwa haya make sense kabisa kwa sisi wengine
but wao ni culture....
 
ni changamoto kwetu wote...
hatuko comfortable kuona watu wazima wakibusiana hadharani..

Huu utamaduni wa kubusiana kwa kweli mimi sidhani kama ni wa kwetu. Boss wewe umeanza lini kuhudhuria harusi? Nahisi kama wewe ulikuwa mmoja wa wale wasimamizi wa harusi..lol...wenyewe mlikuwa mnavaa suruale zenu za mchele mchele na mokasin za wet-look (unavikumbuka hivi viatu? ilikuwa hakuna cha kupiga polishi wala nini).

Mimi katika harusi zote nilizohudhuria kwenye miaka ya 80 sikuwahi kuona wanandoa wakibusiana baada ya mfungashaji ndoa kuwatangaza kuwa mume na mke. Haya mambo ya mabusu na madenda yamekuja kushamiri baada ya video kuanza kuingia na watu kuanza kuangalia movie za Hollywood.

Kama saa hivi yamekuwa sehemu ya tamaduni basi ni tamaduni ya/za kuiga.
 
Huu utamaduni wa kubusiana kwa kweli mimi sidhani kama ni wa kwetu. Boss wewe umeanza lini kuhudhuuria harusi? Nahisi kama wewe ulikuwa mmoja wa wale wasimamizi wa harusi..lol...wenyewe mlikuwa mnavaa suruale zenu za mchele mchele na mokasin za wet-look (unavikumbuka hivi viatu? ilikuwa hakuna cha kupiga polishi wala nini).

Mimi katika harusi zote nilizohudhuria kwenye miaka ya 80 sikuwahi kuona wanandoa wakibusiana baada ya mfungashaji ndoa kuwatangaza kuwa mume na mke. Haya mambo ya mabusu na madenda yamekuja kushamiri baada ya video kuanza kuingia na watu kuanza kuangalia movie za Hollywood.

Kama saa hivi yamekuwa sehemu ya tamaduni basi ni tamaduni ya/za kuiga.

umenikumbusha mbali saana
halafu umejuaje aisee???????

nilisimamia harusi kama mbili hivi....nilipokuwa mdogo....na mazoezi ya blues na mrembo wangu dahh. lol

mbali saaana.....

ukija kwenye topic...hata kama ni utamaduni wa kuiga...je haufai??????

mimi nasema busu la kawaida kwenye shavu tunapaswa kupeana mengi mno na hadharani kweupe
kwa mke na mume.....na tuige huo utamaduni....
but madenda nje nje hiyo siungi mkono...lol
 
Asante kwa elimu nzuri uliyotupatia. Hata sisi limetukumba hilo, tumelelewa kwa kelele kelele sana, kila tufanyalo ni baya tu imetufanya tusipendane na wala kuwapenda wazazi. Nitajitahidi kwa nguvu zangu zote kuwalea wanangu vema.
 
Ze Boss na NN mnachakachua siredi
Yeah busu la shavu ruksa kabisa ila denda hapo hapana. Hilo lifanyikie chumbani kwenu huko mkiwa mmefunga na milango kabisa
 
Well kuna kitu kimenijia kichwani baada ya kusoma analysis ya AshaDii (Sweetie) na mchango wa The Boss na NN.

Kuna suala zima la utamaduni...ambao niseme unabeba kila kitu chetu kama jamii..kuanzia malezi, kazi, tabia...kila kitu kinafanyika kwa utamaduni wetu ulivyo

Ndiyo maana tunapozungumzia malezi ya watoto na kupendana hatuwezi kukwepa utamaduni wetu ulivyo (msingi wa hija ya The Boss) na jinsi ambavyo tungependa iwe (labda kutokana na tamaduni za wengine)

Kwanza, wazazi wetu enzi hizo (na hata sasa) walikuwa na ndoa za mitala, kama walivyosema wengine. Katika hali hii, ni vigumu sana kuwapata watoto wote ndani ya nyumba moja. Kinachotokea mara nyingi ni watoto kuelelewa tofauti kwenye nyumba tofauti na wote tunajua kuwa kila nyumba ina namna na aina yake ya malezi. hawa watoto wa waliolelewa kwenye nyumba tofauti lakini wakiwa na baba/mama mmoja, inaweza kuathiri sana upendo wao baadaye...kwa vile wanajisikia kama wageni miongoni mwao zaidi (kuliko kati yao). La kustaajabisha, unweza pia kukuta mzazi mmoja anampenda zaidi mtoto wa mke mwingine kuliko mke fulani, hivyo kuimarisha dhana kwamba mzazi kumpenda mtoto fulani kuliko mwingine haina uhusiano wa moja kwa moja na ukaaji wa pamoja wa wazazi hao

Pili niseme kwamba kwa siku hizi, ujio wa shule hizi za binafsi ambao watoto wanatumia muda mwingi wakiwa huko, na zaidi hasa zile za kulala, kuna mchango mkubwa katika kupunguza ukaribu kati ya mtoto na mzazi. Upande mmoja, kuna haja ya watoto kupata elimu 'nzuri na ya kisasa', na upande mwingine kuna kuwekeana umbali kati ya mzazi na mtoto, ambao baada ya muda unapunguza ukaribu na huenda mapenzi yale ambayo mtoto angependa kuyaiga na kuyapata kutoka kwa wazazi.

Tatu, kama tunazungumzia suala la watoto kwa mfano kukaa nyumba moja na wazazi wao wote wawili, hili nalo pia linazidi kuwa gumu kutokana na ugumu wa maisha ambao wakati mwingine unalazimisha wazazi kutengana kwa muda kwa sababu ya kazi au masomo, hivyo kwa wakati fulani watoto wanakosa upendo wa wazazi wote wawili. Cha kusikitisha pia, pale ambapo wanakuwepo wawili, unaweza kukuta ndiyo yale watoto kuambulia baba akimpiga mama na sio kuwaona wakiwa wawili kwa upendo!

Niharakishe kusema sina suluhisho la haraka la hii migongano ninayoiona hapa...labda tunavyozidi kujadili, tutaweza kupata suluhiho au njia bora zaidi ya malezi ambayo itawawezesha wanetu kupendana miongoni mwao na kati yetu na wao zaidi.
 
Dada mkubwa uko sahihi kbs, wazazi wengi huwa hawawezi kuficha hisia zao za kumpenda mtoto mmoja zaidi ya wengine,japo sijawa na familia km hivyo but nafurahi kwani wazai wetu walimudu kubance mapenzi yao kwetu na imekuwa matokeo mazuri kwetu kwani we real love each other,naomba nikiri najifunza mambo mengi sana kwenye sred zako,yani huwa unaongelea mambo ninayopenda kujifunza na kuyajua,thx.
 
Nimejifunza mengi kwenye hii thread.
Kuna vitu vimenikumbusha wakati nipo mtoto nilivyokuwa nadeka kwa baba lakini kwa mama ilikuwa tofauti

Chatu nimeshangaa saana kwako ilikuaje maana huwa ni the opposite... Watoto wa kiume huwa saana karibu na mama zao.... What do you think made you closer na babako instead of your mom?? kama hutajali lakini...

Asante kwa elimu nzuri uliyotupatia. Hata sisi limetukumba hilo, tumelelewa kwa kelele kelele sana, kila tufanyalo ni baya tu imetufanya tusipendane na wala kuwapenda wazazi. Nitajitahidi kwa nguvu zangu zote kuwalea wanangu vema.

Dah! hio mbaya saana Remmy i hope you won't repeat the mistake.. ila tu mie nafikiri ndo ingewafanya watoto muwe close... what went wrong??
 
kudeka kwa baba?????/

una bahati aisee lol

kuna jamaa mmoja namjua....alipotaka ku sex for the first time....alikuwa 17
alimwambia baba yake.....mwanzo mwisho....na siku aliyo du tu...
akakimbilia kwa baba yake kumwambia....nilimuonea wivu saana lol

Now that's just TMI!

yaani huwezi amini.tulikuwa wengi tunashangaa jinsi yeye na baba yake walivyokuwa close...
mdingi wake alicheka cheka tu....nakumbuka alikuwa anamsisitiza condom tu....

unajua kuna culture hasa baadhi ya waarabu
watoto wa kiume wanakuwa wanaletewa mpaka wanawake[mostly prostitues]

nahisi ni katika kuogopa watakuwa gays...lol

nilisoma gazeti la forbes....zile shule za watoto ambao wazazi wao ni kings,presidents na billionaires of this world

ipo moja swissland ambayo alisoma the aga khan....na wengine rich n famous....

ilikuwa kawaida kwa watoto wa kiarabu kufuatwa na ma limousines na kupelekwa kwenye mahoteli
ambako wanawake waliandaliwa kuwahudumia.....kila wiki ilikuwa hivyo....
nakumbuka shule inaitwa eaton high school.....

Boss bana...sasa kwani mtu hawezi kulala na wanawake halafu akawa gay? Ukipata muda hebu mgoogle gavana wa zamani wa New Jersey, Jim McGreevey.

Haya mambo ya nani gay na nani si gay ni siri ya mtu moyoni (hususan kama huyo mtu hayuko wazi kuhusu huo mwelekeo wake). Kwa hiyo usione mtu ana mke na watoto wawili au watatu ukadhani haiwezekani yeye kuwa gay.

Sasa hao Waarabu sijui ndiyo wanafanya nini tu.

nakubaliana na wewe
ndo maana nikasema its culture.....
waarabu wana mambo wanafanya huwa haya make sense kabisa kwa sisi wengine
but wao ni culture....

umenikumbusha mbali saana
halafu umejuaje aisee???????

nilisimamia harusi kama mbili hivi....nilipokuwa mdogo....na mazoezi ya blues na mrembo wangu dahh. lol

mbali saaana.....

ukija kwenye topic...hata kama ni utamaduni wa kuiga...je haufai??????

mimi nasema busu la kawaida kwenye shavu tunapaswa kupeana mengi mno na hadharani kweupe
kwa mke na mume.....na tuige huo utamaduni....
but madenda nje nje hiyo siungi mkono...lol

Well this has been positively insightful....
 
Umenikumbusha movie iliyon'toa machozi..."MY SISTER'S KEEPER"....Haya mambo ya familia magumu kweli babaaaake!!

Sinziga i need more from you.... Hio movie.. I am not surprised ulitoa machozi... yaani drawn from real life....
 
Back
Top Bottom