Strip and Gentlemen Club in Dar!

Eqlypz

JF-Expert Member
May 24, 2009
4,065
0
Kelly hii idea mwenyewe nishaipresent kwa vibopa hapo bongo wakanitoa nduki na mikashfa kibao kuwa sina adabu/maadili/heshima, ila bado sijakata tamaa. Mimi nafikiria kufungua Dodoma uko karibia na bungeni najua sitokosa soko.
 

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,537
2,000
Kelly,
Ukifanikiwa basi nipe tip za mwanasheria wako ili na mie nifungue SEX SHOP kama hii aliyotembelea Michuzi.... Au tayari Wahindi na Wachina wameshaanzisha? Ni vema kuwafahamu washindani wako.

 

Gudboy

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
868
225
As member only private club....

Gentlemen's club...purpose ni kukutanisha people were men's culd go and relax ,mix with friends talk business,play games,get a meal and if possible stay overnight for business purpose.....
mi nilifikiri women hawataruhusiwa, nilitaka kusema basi haitakua na wateja wengi, lakini kama wapo itakua mzuka sanaaa
 

Gudboy

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
868
225
Kelly,
Ukifanikiwa basi nipe tip za mwanasheria wako ili na mie nifungue SEX SHOP kama hii aliyotembelea Michuzi.... Au tayari Wahindi na Wachina wameshaanzisha? Ni vema kuwafahamu washindani wako.

sasa huyu kanunua hilo la nini tena wakati yeye ni men
 

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
41,676
2,000
natafuta location ya kufngua strip and gentleman club in dar!....kuna mtu ana idea ya any great location?...nilikuwa nafikiria mitaa ya pale downtown karibu ha zamani sheraton hotel/jumba la sanaa...

business mind hebu nipeni idea ya great location ya kufanya vitu kama hivi nahitaji sehemu iliyotulia haina fujo wala vibaka...high quality...maana target ya hii joint nayotaka kufungua ni kwa watu poteantial customer wenye hela zao ambao wanajua kutumia na kutoa tips ya maana......

xoxo


go kelly.....

Thats what the baddest b should do.
 

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
826
250
Hii kwa Tanzania sijui kama itaruhusiwa na kama ikiruhusiwa itakuwa kimakosa na baadaye lazima wa kugeuzie kibao kama hawatakuifadhi sijui!!Ila kama ukipewa license au leseni nijulishe halafu tu-check uhalali wake kama watu wanaweza ku-forge fedha nini kuhalalisha hiyo kitu kwa leseni ya magumashi!?
 

1975

Senior Member
Jul 9, 2009
131
195
Ndugu yangu unatafuta matatizo Tanzania ni tofauti na Kenya Kidogo,kwa sababu Kenya mna strip kama pepo biiz,Langata.Hapa kwetu kufungua kilabu ya watu wanacheza uchi mi marufuku,USHAURI WA BURE IFIKIRIE HII BIASHARA KABRA HUJAPOTEZA MTAJI WOTE NA KUISHIA JELA.
 

Katikomile

JF-Expert Member
Jul 12, 2007
472
225
As member only private club....

Gentlemen's club...purpose ni kukutanisha people were men's culd go and relax ,mix with friends talk business,play games,get a meal and if possible stay overnight for business purpose.....


As far as strip club!.....for leisure...a nightvlub or bar where striptease is regularry performed....(men and women strip club)..other related task such as lapdancing..more explicity adult entertainment such as sex shows.....

Oh jumba la sanaa linavunjwa...any potential buyer?....that is very alright maana ile sehemu ndiyo nilikuwa naifikiria sana....pako quite!

Hii ni idea nzuri and unique, lakini fuatilia kwanza kwanini JJ club pale Kinondoni block 41 nyuma ya Best bite ilifungwa. Nafikiri hapa Bongo hatuna, sijui kwa majirani zetu!

Nyumba ya sanaa kuna mgogoro, NMB Bank wakishirikiana na Mirambo Properties (NIC party in South Africa) owner of 50Milambo property wanataka kuingia JV na Nyumba ya sanaa Ltd na kuweka ghorofa kumi. at the same tym kuna prospective party mwingine alikuwa anataka kujenga ghorofa 30 na akawa ashasaini JV agreement lakini akapigwa chini kwa sababu ANC na NMB wana backup, technical know who, e.t.c.. Pitia kidogo hapa ujionee..........

http://www.thecitizen.co.tz/newe.php?id=13505
http://www.thecitizen.co.tz/newe.php?id=13885
http://www.thecitizen.co.tz/newe.php?id=13590

Kuhusu kupata sehemu nyingine hebu check na Expertboker at 0754 85 82 45, ana vitu vya ukweli na ni mtaalam wa ku-advise!
 

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,638
1,250
Wabongo wanafiki sana,mnajidai mnapinga humu lakini ikifunguliwa ndio wateja nambari wani na mishahara mtamalizia humo humo,bora zije joint kama hizi maana atleast kutakuwa nna safety kidogo kuliko huko bar mnapolala na kuondoka na vyangudoa mnapolewa na hakuna safety yeyote
Umekuwa yahaya hussein wewe...!?
 

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
6,973
2,000
kelly01,

...target ya hii joint nayotaka kufungua ni kwa watu poteantial customer wenye hela zao ambao wanajua kutumia na kutoa tips ya maana


Kwanza, Je unao mchanganuo wa biashara hii unayotaka kufungua? Hiyo excerpt kutoka kwenye bandiko lako (re your potential customers) imekaa ki-haraka haraka mno - It shows kwamba inawezekana hili wazo ulilipata ukiwa kwenye mojawapo ya joint bubu za aina hii zilizojaa hapa mjini Dar es Salaam.

Pili, kama umefanya "home work" ya kutosha, hapa Jijini Dar es Salaam, hii idea ya namna hii haiwezi kuwa "legalized" kwa mtindo unaotaka kutumia - kumbuka hata mwanamke kuvaa mini-skirt hapa bado akubaliki sawa sawa kijamii sasa iweje mtu avue nguo na kucheza mbele ya jamii? Ukifuata utaratibu wa sheria ku-register hii biashara hutafanikiwa! Fuata njia ya "pembeni" utafanikiwa BUT the "operating costs" will be higher than what you are had planned earlier!

GUD LUCK - Remember AIDS has NO CURE
 

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,838
1,195
Just a thought Kelly, abt HIV na mkakati wako wa kupima watu , je utapima wateja au wafanyakazi na madancer wako? Ever heard of the HIV/AIDS law?
Na kama ukiwapima wafanyakazi wakawa hawana coz i know you cant pima wateja, wakakubaliana humo wakakutana viwanja mfanyakzi wako akaambukizwa na akendelea kusambaza what will happen there na wewe una uhakika utacontrol?
 

Yunic

Senior Member
Sep 26, 2007
109
0
Before you go any further,try to find out if the law allows this!!!!!!!!

You might find yourself landing in jail!


Nakubaliana na wewe kabisa!! mambo mengine mnayaona majuu huko kwenye uchafu wa kutupwa, halafu mnataka kuyaleta moja kwa moja TZ! Hivi wewe huna akili ya kufanya jambo lingine la maana ila kufungua "gentlemen's club"? Please have some pride!
 

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,301
0
mkuu askurushe mtu, kama umeshafanya research na kujua permit na range ya kodi na kila kitu go ahead. kuna jamaa yangu alifungua kampala-alikimbia sababu ya kodi ya serikali, iko juu kama ya cassino. lakini mfanyabiashara yeyote naamini lazima afanye research na calculation za kutosha, pia awe MTHUBUTU na risk taker, wala usikatishwe tamaa....wateja wa kumwaga, na kama unalipa vizuri kodi na uko ndani ya sheria KOMAA kuna pesa nyingi sana hapo. alimradi usiweke PM ya double (watageuza danguro). ill be the first to buy a membership card.
 

Bungwashi

New Member
Aug 13, 2009
1
0
Watu kama wewe ndo wanahitajika katika jamii ya sasa,ya kizazi kipya unabuni mambo na kuomba ushauri!kuna sehemu moja inaitwa T-square ipo maeneo ya mbezi beach kama unaelekea White Sands Hotel kutoka kituo cha Afrikana.Naona kuna mtu pale anamisuse lile eneo baada ya kuweka kitu cha maana yeye anafanyia mchezo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom