Strip and Gentlemen Club in Dar! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Strip and Gentlemen Club in Dar!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Binti Maringo, Oct 21, 2009.

 1. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Natafuta Location ya kufngua strip and Gentleman club in Dar!....

  Kuna mtu ana idea ya any great location?... Nilikuwa nafikiria mitaa ya pale downtown karibu na zamani Sheraton hotel/ jumba la sanaa...


  Business minds, hebu nipeni idea ya great location ya kufanya vitu kama hivi, nahitaji sehemu iliyotulia haina fujo wala vibaka... High quality... maana target ya hii joint ninayotaka kufungua ni kwa potential customers wenye hela zao ambao wanajua kutumia na kutoa tips za maana...

  xoxo
   
 2. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Fafanua, wengi hatujabahatika kubeba mabox, unamaanisha nini? jumba la sanaa panavujwa!
   
 3. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  As member only private club....

  Gentlemen's club...purpose ni kukutanisha people were men culd go and relax ,mix with friends talk business, play games, get a meal and if possible stay overnight for business purpose.....


  As far as strip club!.....for leisure... a nightclub or bar where striptease is regularly performed.... (men and women strip club).. other related task such as lapdancing..more explicity adult entertainment such as sex shows.....

  Oh jumba la sanaa linavunjwa... any potential buyer?.... that is very alright maana ile sehemu ndiyo nilikuwa naifikiria sana.... pako quite!
   
 4. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kelly, sasa wewe unataka watu wasiwe wanalala nyumbani kabisaaa.

  Hivi kwanza si nilisikia miaka ile kuwa Talk of The Town (Kwa Nyerere) walikuwa wana hii kitu?
   
 5. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Before you go any further,try to find out if the law allows this!!!!!!!!

  You might find yourself landing in jail!
   
 6. Mlango wa gunia

  Mlango wa gunia Senior Member

  #6
  Oct 21, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mmmmmmhhh bongo sasa naona machangudoa wanapata promoter wao,utandawazi unaleta mambo mengi mazuri na mabaya,tunakoenda na hizo club za kusasambua sijui kama tutafika,hatuna club lakini ukimwi unatufanyia finishing hivi,baada ya muda mfupi tu atakuja mwingine na kutaka kufungua redlight district.Watoto wetu wa uswazi jamaani tuwaweke wapi kuwanusuru na haya?maana najua hao stripers mtawatoa uswahilini kwetu tu kwa kuwa hawana uwezo,hawajasoma na hawana ajirana mtawadhalilisha halafu mtawalipa mshahara wa bar maid.
   
 7. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  kutakuwa na medical check up before entering the club...so don;t worry about that...Na nilijua tuu swala la kwanza kwa watanzania ni Ukiwmi....this is a great business for reall na itakuwa handled in a business manner...classic and very profesionals....

  Na hiyo medical check up itafanyika na Dr wangu wmenyewe na siyo kuniletea result za uchohcoroni....as a business mogul nachukulia life za wat u very serious.....and just you know i thought abot this before hata hujauliza honey!>....but thanks for great advice.....
   
 8. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Qemu This is mostly intended for bachelors and bachlorrete only!....if you knwo what i mean....kama marrie di am sure utakuwa na tahadhari ya kurudi home after late hours.....na ikiwezekana inabidi umjulishe your significant others ila usilete kasheshe at work place....(stricylt business)


  Hiyo Research nimeshafanya tayari usiwe na shaka m2wangu!...and thanks for your concerns/advice..you are such a nice people.....
   
 9. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hivi ile kesi ya yule dada wa Mikocheni iliishia wapi?
   
 10. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mdogo wangu ..ni mawiliL
  Sheria ikichukua mkondo wake utajikuta pabaya sana
  Ikipindishwa basi ujue utageuka kitega uchumi cha watu,.. wewe utachumia wengine.TZ zaidi ya uijuavyo.
   
 11. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #11
  Oct 21, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Good and great location ya mambo ya stripping na mambo mengine ya erotic entertainment ni Chumbani kwako wewe na mwenza wako...! Mkiwa humo mtafanya kila linalo wajia kichwani na mnaweza kupeana tips kwa kiwango chenu na raha zenu...!
  Ukishindwa hivyo... Sokoni kariakoo... is a good place!
   
 12. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  why nigeuke kitega uchumi kama nina license?...na ni kipengelea gani kinakataza mtu ku own a gentlemen or strip club?....kama nimeweka business plan yangu out na nikaeleezea purpose ya hii joint nayotaka kuanzisha and watu watafaisika vipi and so on and so forth...na nikapewa go ahead..what makes you think otherwise?!>.....hii ni 21st century time for a change!...you know what i mean...though i appreciate for your concern...One love dwag!

  besides siyo issue sexual immorality ni for show only...huondoki na mtu na hakuna kulalana wala nini its for your eyes only and lap dance ni caliante kwa kwenda mbele....

  You knwo sometime syou need to think big...think outside the box and get yourmind straight....think being rich and not poor....that is me and that is my motto!....


  Mmh hapa bado sijakupata kabisaaa...come again!....

  ooh acha kufikiria ngono fikiria monie!.....smell monie na siyo ngono......think different from others...you all don;t have to think the same....think of getting rid of that poverty na siyo ngono!......talk business and not trashy!
   
 13. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Good luck!
  Usiseme hukuambiwa.FYI unachotaka kufanya wako wahindi na wachina kibao wanafanya.Kasheshe wanazokumbana nazo si kidogo.Hutakuwa wa kwanza ..wala haitakuwa breakthrough thinking kama unavyofikiria.I thought I should just share with you.
   
 14. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  I appreciate for your concern VC...One love dwag!...yeah i knwo what you mean lakini sifanyi kiholela lazima niwasiliane na wenye injii hii!....

  aaah umeniangusha why think of wahindi na wachina first..why don't you think of what you can do kuwaovertake hao wahindi wachina na badala yake mnawahogopa na kuacha wanatawala....ndiyo maana nasema think outside the box man!...hao wateja wa hao wahindi ni akina nani?kama siyo nyie watanzania wenyewe?mnawapa bichwa sana hawa machokoraa
   
 15. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Acha u-check sister, we juzi juzi ukikuwa kule leo hii unajidai hujui kama Sheraton inaitwa vipi leo na Nyumba ya Sanaa unaita jumba la sanaa, acha zako....na hizi ni longolongo huna lolote wala nini peleka story zako kwenye saloon za morroco.
   
 16. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  uuh let me see are you on your period today??

  anyhoo kwani nini tofauti ya nyumba ya sanaa na jumba la sanaa?...zote zina meaning sawa tuu!....na nimemsema former sheraton hotel siyo kila mtu anakumbuka jina la sasa hivi whatever Marina hotel....maana ile hotel imeshabadilishwa jina sana tuu mpaka watu wana loose track so usiwe na shaka mjomba ...au ulingeridhika kabisa ningesema Marina hotel (formerly sheraton Hotel uh)

  slow your roll dwag!......usikonde sana votu vidogo sana hivi....hasira hasara na it's not healthy kuanza kutupia mtu maneno kama hujui...please!....
   
 17. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Acha u-check sista na kuota mchana, hii hutafanya wala huji kufanya...story hizi hadithia sistadu wenzako siyo hapa, au peleka kwenye udaku.
   
 18. Mlango wa gunia

  Mlango wa gunia Senior Member

  #18
  Oct 21, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kila la kheri Kelly 01,nafurahi kusikia kuwa una research ya kutosha kuhusu mradi huu,i hope na kwenye utekelezaji utasimamia vema ili kuweza kuleta maana halisi uliyoidhamilia,nasubiri ukianzisha tu na mimi naanzisha redlight kwa pembeni ili mabingwa wakitoka kwako wakiwa wameelemewa waje kupona kijiweni,[​IMG]
   
 19. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #19
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Una uhakika nimetaja au kufikiria ngono (!?)
  Hivi povert hatuwezi kuiondoa mpaka tufuate na kufikiria mawazo kama haya?
   
 20. K

  Koba JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  Wabongo wanafiki sana,mnajidai mnapinga humu lakini ikifunguliwa ndio wateja nambari wani na mishahara mtamalizia humo humo,bora zije joint kama hizi maana atleast kutakuwa nna safety kidogo kuliko huko bar mnapolala na kuondoka na vyangudoa mnapolewa na hakuna safety yeyote
   
Loading...