Mh! Mbona hatari? Ntaukimbia huu uzi kabisaa manake umenikaba koo!
Nooo usikimbie..
Mh! Mbona hatari? Ntaukimbia huu uzi kabisaa manake umenikaba koo!
farkhina hebu lala hizo story za wazungu hazijanipa jibu langu la how fast can some one die when taking alcohol and cigers simultaneously?
Kuhusu lung cancer na associated diseases sijabisha nataka tu unambie kwa haraka ipi mtu atakufa anapo mix hivyo viwili?
Lala wewe kwani nlikwambia nna usingizi? Me nimesema kuwa ukivuta na kunywa pombe at the same time ni kitu ambacho kinaweza kukua haraka kuliko....how fast i dont know ila haviwezi kuwa mixed maana ni hatari sana..
Sasa ni miezi miwili tokea niache kuvuta baada ya miaka 11nikiwa mvutaji tokea kuacha nijisikia mtu mwenye afya nakula sana na Kwa muda huo wa miezi miwili nimezidi kilo 3na nusu bado na muda wote napiga mazoezi nawashauri wale wavutaji wajitahidi kuacha sigara ni kupoteza afya na pamoja na kuhari hela.
ulishawahi kuvuta fegi??
Sijawahi hata alcohol kuonja sijawahi....hasbiallah
iasee, wamekutisha ukatishika kuwa uki mix alcohol na cigarate uta kufa haraka
Sasa ni miezi miwili tokea niache kuvuta baada ya miaka 11nikiwa mvutaji tokea kuacha nijisikia mtu mwenye afya nakula sana na Kwa muda huo wa miezi miwili nimezidi kilo 3na nusu bado na muda wote napiga mazoezi nawashauri wale wavutaji wajitahidi kuacha sigara ni kupoteza afya na pamoja na kuhari hela.
Anyway i just want watu kujua effects yake kwa wasiofaham....naona wewe upo kimasihara sihara...
Mngojee akumalize Sigara na akutie kaburini ndio utaweza kuachana nae.Yeah, ni kweli ni adui wa afya! Nalitambua hilo..tatizo nashindwa jinsi ya kuachana nae.