Strictly for Mathematician

Strictly for Mathematician

naongezea hapo hoja mchanganyiko ni kweli huyu mtu anakasoro kwenye akili yaake,angalia comment zake yaan utafikri kalewa

Ndio maana tunasema hii JF imevamiwa. Sasa wewe kwa akili yako, unataka kusema "old girls" aka mama zetu ni EVIL. Aisee, this is very serious.
 
unapeo mdogo ndio maana hatamaana ya hoja hujui nadhani shule yako ndogo kama umeenda shule ni ya kudesa kama ya Mlugu.

Sawa mpo sahihi. Nyie mmeleta hoja ya GIRLS are EVIL. Nimejifunza. Lakini kama hamna cha kuandika nyamazeni kimya.
 
Your idea is good and received, but look here (Time and Money) was supposed to be (Time + Money) cos and goes with + not x. I know why you decided to use (Time x Money), your interest was (Money)[SUP]2 [/SUP]for square root to be applied later to get Girl = Evil. Big up and welcome.
naona umeandika ki-zungu(english) nzuri lakin hesabu mbaya!!!! AND represent x(times) and not plus,but plus is represented by OR!!! nawasilisha....
 
Sawa mpo sahihi. Nyie mmeleta hoja ya GIRLS are EVIL. Nimejifunza. Lakini kama hamna cha kuandika nyamazeni kimya.
huo ndio u greater thinker mnajaribu kuchambua mambo ambayo jamii inasema hata kwakutuia formula za hesabu
 
Wewe umeona kuna hoja gani hapo?? Yaani unataka kuniambia mama yangu ni evil, halafu mie nikuangalie tu?? Please let us be serious.

hoja si hii hapo umeshaitaja sa unataka hoja gani?bishana kwa hoja usikimbilie mama yako katunwa,if yes why?if no why?tetea hoja na sio kutoacomment za kukashifu mtu na sio hoja
 
Ndio maana tunasema hii JF imevamiwa. Sasa wewe kwa akili yako, unataka kusema "old girls" aka mama zetu ni EVIL. Aisee, this is very serious.

wewe ndio unaosema jf imevamiwa au tayari mko wawili hapo?kwa akili yangu, ingekuwa ni mimi ningekucomment hoja point za maana ambazo zinafunza kuwa mama zetu sio EVIL na sio mleta hoja, ameileta sababu anataka kujua na si vinginevyo hata yeye pia anamama kwani hakulifikiria hilo si hivyo tu wote tunamama na ingekuwa hoja ya kutukwana mama zetu nafikiri ingeshaondolewa masaa machache tu ilivyowekwa.USHAURI WA BURE FIKIRI KWANZA KABLA YA KUCOMENT
 
Sawa mpo sahihi. Nyie mmeleta hoja ya GIRLS are EVIL. Nimejifunza. Lakini kama hamna cha kuandika nyamazeni kimya.

na wewe pia kama huna cha kucomment nyamaza kimya ka unanyolewa! mbona sio lazima unaweza ukasoma tu af ukaipotezea sio kila kitu lazima ufundishwe darasan duuuh!
 
wewe ndio unaosema jf imevamiwa au tayari mko wawili hapo?kwa akili yangu, ingekuwa ni mimi ningekucomment hoja point za maana ambazo zinafunza kuwa mama zetu sio EVIL na sio mleta hoja, ameileta sababu anataka kujua na si vinginevyo hata yeye pia anamama kwani hakulifikiria hilo si hivyo tu wote tunamama na ingekuwa hoja ya kutukwana mama zetu nafikiri ingeshaondolewa masaa machache tu ilivyowekwa.USHAURI WA BURE FIKIRI KWANZA KABLA YA KUCOMENT

Asante kwa ushauri.
 
Your idea is good and received, but look here (Time and Money) was supposed to be (Time + Money) cos and goes with + not x. I know why you decided to use (Time x Money), your interest was (Money)[SUP]2 [/SUP]for square root to be applied later to get Girl = Evil. Big up and welcome.


Ndio maana alisema for Mathematicians only. In mathematics, AND ni X
Kama hujui unyamaze tu
 
Wewe umeona kuna hoja gani hapo?? Yaani unataka kuniambia mama yangu ni evil, halafu mie nikuangalie tu?? Please let us be serious.


Waheshimu BABA yako na MAMA yako katika nchi upewayo na Bwana MUNGU wako ili upate kuishi siku nyingi hapa duniani. NA WATU WOTE WASEME AMINA.
 
A dependent variable is what youmeasure in the experiment and what is affected during the experiment. Thedependent variable responds to the independent variable. It is called dependentbecause it "depends" on the independent variable. In a scientific experiment,you cannot have a dependent variable without an independent variable.
Kwa hiyo hao akina dada hawawezi kuitwa hilo jina bila mwanaumekumfuata na kumpa hivyo vijisent vyako huku ukimwita darling, baby na majina matamu,ukisha mpata unambadirisha jina na kuitwa evil.
 
Wewe umeona kuna hoja gani hapo?? Yaani unataka kuniambia mama yangu ni evil, halafu mie nikuangalie tu?? Please let us be serious.

This is for mathematicians, so prove it mathematically, hatujui sisi kubishana kwa maneno kavukavu, kama haiko pande yako si vibaya kukaa kimya au mkimbilie jirani akusaidie.
 
lets generate premises on your conclusion that girls are evil.
1st premises state that, Girls are evil.
2nd premises state that Men love girls.
3rd premises state that all men are evil.
The conclusion of logical premises lie on the first premises that if girls are evil and men love girls that means men also are evi. l
So your conclusion is logical or illogical?
 
Hesabu nyingine hiyo.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    15.2 KB · Views: 38
Hesabu nyingine hiyo.

Kwa mtu yeyote aliyesoma na kufaulu maths, atajua kuwa huyu mjamaa ana psychological repurcation. Makuzi yake kwa mama yake na baba yake siyo mazuri.
Na lazima ama kaingizwa chaka na mwanamke aliyemokota au mama yake mzazi alifanya kitu mbele yake kilichomwathili ufahamu wake.
Kama hajui au hajatafiti juu ya jambo lolote asiseme.

Wanawake wamekuwa sababu ya wanaume wengi kufanikiwa. Orodhesha majina utafiti.
Asilimia kubwa ya wanawake huonekana wabaya baada ya kuharibiwa akili na wanaume wao. Ukitaka nitakuonyesha watu mashuhuri 10 kuthibitisha usemi huu.
 
ngoja nimfatute injinia Asprin akanitizamie daraja langu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom