Stress kali special thread

Nikiwa na stress huwa nakunywa maji mengi, nafanya mazoezi chumbani kwangu kisha nachemsha maji naweka chumvi ya mawe naingia bafuni kuoga kwa dk 30. Dakika zote hizi najisugua na sabuni yenye harufu zuri (protex for gentle). Kisha napanda kitandani nikiwa na laptop nacheki series au movies uku taa ya chumbani ikiwa imezimwa. Napenda horror movies #amtheghost
 
Hizi mambo Kila mmoja anazo, zinapozidi ndo utajua kwanini ngiri huwa anakimbia vile mkia juu.
 
Mbona dawa ndogo tu, chukua namba, mpige story za kawaida mzoeane kidogo, baada ya wiki moja mtongoze, unatongoza stranger barabarani dakika hiyo hiyo unategemea ujibiwe nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…