klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
hehehe kama atakubali kurudi Husninyo basi nakuahidi kukupigia debe la umod, hako kamchumba tumekamiss kweli kule jukwaa la uchumi na matangazo madogomadogo. lolhahahhaah klorokwini, nitabaki Ankal tu..hivi wapwa wangu unawajua kweli? basi hao hao.. Mwali, na Husninyo. Nipo katika kumbembeleza Hus arudi,,,nasikia we ndo Kibabu ulitaka ku do naye lol
Ankal fo ever
Tunaendelea.
FirstLady1 = Bichau, Lizzy = mamaake marehem kanumba, @Aspirin ni madata lubigisa (lile nyanda veterani), sweetlady ni isha mashauzi.
hehehe kama atakubali kurudi Husninyo basi nakuahidi kukupigia debe la umod, hako kamchumba tumekamiss kweli kule jukwaa la uchumi na matangazo madogomadogo. lol
Hicho kibab cha husninyo ni TANMO bana, amejifanya kuweka picha ya ka junior kumbe kijeba kinaishi kwa pensheni tangia alipong'atuka mwalim.
Hahahaha subiri nifanye mambo..kumbe ni TANMO....ila klorokwini wewe noma...mmalizie basi Husninyo deni lake
JF arusha branch walivujisha habari za tanmo, arusha wasaliti bana. Bakhresa hakopi bana Kaizer, juzi tu nilimnunulia Cantalisia pafyum ya harufu ya zabibu imenicost dola elfu 2, aliniskitikia sana kwamba rejao amefilisika anamnunulia mafta ya nazi tu sku hizi.
Babu Asprin ----- Mwakyembe, klorokwini---- Maji marefu, Bishanga ---- Malechela na Kipipi---- Sofia simba lol!
Hahahah hahha hahhah,JF arusha branch walivujisha habari za tanmo, arusha wasaliti bana. Bakhresa hakopi bana Kaizer, juzi tu nilimnunulia Cantalisia pafyum ya harufu ya zabibu imenicost dola elfu 2, aliniskitikia sana kwamba rejao amefilisika anamnunulia mafta ya nazi tu sku hizi.
Big shem Kaizer huyu mzushi tu,kipafyum chenyewe cha yolanda harufu kali mpaka vipepeo wanatua mwilini lol!Ngoja Cantalisia apite hapa....lol
Mwana kwetu Kipipi vp au nimekukosea?kuna tetesi kwamba wewe ni Nabii Flora lol!hahahah........makubwa!! Cantalisia bana!!!
Rejao naskia wamembana jukwaa la siasa, sasa nazani leo hatohuzuria chit chat. Tukumbushie nini? nimekumissHahahah hahha hahhah,
Haki ya nani vile loya klorokwini nia yako si njema kbs kwa ndoa yangu,
Yani kipafyum cha yolanda kinauzwaga dola elfu 2????
Mie nikajua ndio unatengeneza mazingira ya mm kumhimiza mme wangu akugee ule mkopo uloomuomba kumbe ndio umeuja kujitangaza huku!!!
Hata siamini jaman lol!ndio unajiita baresa!!!!
Hee hee heee klorokwini bana!Rejao naskia wamembana jukwaa la siasa, sasa nazani leo hatohuzuria chit chat. Tukumbushie nini? nimekumiss
Naona klorokwini unatafuta kupigwa ngumi za uso!!Rejao naskia wamembana jukwaa la siasa, sasa nazani leo hatohuzuria chit chat. Tukumbushie nini? nimekumiss
Wow!here i am darling,Njoo tupate cha mchana mke wangu...
Achana na hawa wanga Cantalisia
Naona klorokwini unatafuta kupigwa ngumi za uso!!
Heee heee heee!Dah! nilimwambia Kaizer hakuniskia akasema nimsibitishie kama mnapendana kweli. Nilifanya haya ili kumsibitshia kaizer tu mkuu rejao. Uskonde, sasa atakuwa shuhuda wa penzi lenu. Mimi Cantalisia ni dadangu kabsaa.
Dada Cantalisia mjomba kishtobe amekusalim sana.