Story za kusadikika za Mombasa

Story za kusadikika za Mombasa

Hebu jisome hapa View attachment 573540hapa ndio umethibitishwa kujiunga JF(most likely multiple ID) View attachment 573543post yako ya kwanza unatafuta kazi (fresh from school) View attachment 573544post hii umeshinda pesa nyingi 101milion, na mshahara unao na mapato mengine ya kubet (ndoto za ma jobless wengi walio stranded, huku ukiwa na hamu ya kuendesha Allex (hujawahi kumiliki gari)
Post ya mwisho unatafuta chumba
4dc42235aa51413da2786178e8af9c5e.jpg
hapa muongo ni nani kati yangu mimi na wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Rejea nilichomwambia huyu Jamaa kule juu!
Hizi ni ishara zote za kuliwa tigo mombasa, kuwa na matatizo ya akili kama si kufikiri, upeo mdogo wa kushadadia Forums (Yawezekana amezoea kufanya upuuzi Instagram na Facebook huko so anadhani na humu pako hivyo).
Naona anaota ubilionea kwa kutegemea kubeti.
DEAR MOMBASA, UMETUHARIBIA VIJANA WETU JAMANI, NAILILIA TANZANIA
 
Pete imenitoka
Mara imeponyoka
Pete eeh pete
Naisifu pete
Enyi malimwengu
Mufahamu matunzo
Si kama yoyote yangu pete
Pete eeh pete
Yali kidoleni
Mara siioni hakika
Nalia jamani kwa yaliyo nifika
Yangu pete
Pete kama hiyo
Kupata ni tabu
Siyo mjuavyo dhahabu
Lulu nayo siyo
Yangu pete imenitoka.
Utu uzima dawa... Hujawahi kuniangusha Pete ya Mombasa Duu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pana kijana mmoja kaibukia penye umende (ubasha )akawa na kasi sana akijaribu kushindana na mkongwe mmoja katika fani hiyo basi kila akipata shoga na kulishughulikia alikuwa anachukua kinyesi na kwenda kumpa mkongwe anuse basi lile zee likinusa tu linamwambia basha kijana huyu shoga wa sehemu fulani na huyu wa mahala fulani ikimaanisha kuwa mzee ameisha washughulikia so ana fahamu harufu zao. ikawa hivyo basha kijana akaona kweli bado ni mchanga penye fani basi siku hiyo akampelekea kinyesi
chake mwenyewe akamuuliza huyu shoga wa wapi? Mzee kila akinusa harufu haiji kila akiisikilizia haipati ikabidi amwambie kijana huyu sijawahi kushughulikia tena anaonekana ni bikra kijana akawaka kinyesi changu hicho acha mambo yako.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa namfatilia sana Blaise Pascal, kuna sehemu aliwahi sema " SMALL MIND ARE CONCERNED WITH EXTRAORDINARY WHILE GREAT ONE WITH AN ORDINARY ".

Huyo jamaa anaonyesha kabisa ni kwa namna gani alivyo mfinyu wa fikra(Labda aliwahi lipiwa bill Mombasa)...
All in all akumbuke kuwa mtu mzima siyo mavuzi na ndevu halafu pia dunia ni ndogo tukiungana kiutu uzima.
alishawahi kulipiwa huyo tena maranyingi tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rejea nilichomwambia huyu Jamaa kule juu!
Hizi ni ishara zote za kuliwa tigo mombasa, kuwa na matatizo ya akili kama si kufikiri, upeo mdogo wa kushadadia Forums (Yawezekana amezoea kufanya upuuzi Instagram na Facebook huko so anadhani na humu pako hivyo).
Naona anaota ubilionea kwa kutegemea kubeti.
DEAR MOMBASA, UMETUHARIBIA VIJANA WETU JAMANI, NAILILIA TANZANIA
Got it exactly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom