Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,112
- 831,786
- Thread starter
- #61
Kuna watu wanainama mno hasa wanapokuwa wanaupimia mpira mweusi kuungiza kwenye shimo wanapochezA pool mombasa piga mpira kwa style yeyote lakini usiiname vinginevyo utakuta majitu yanamadevu yanapigana yakubambie
Msambaa alienda mombasa kuuza mapeas. Akatahadhalishwa ajichunge maana anaweza kuliwa kama akiwa mpole.
basi kila wakija kuulizia mapeas bei gani, msambaa anajibu...pale hamsini, na pale mia
wakiuliza nipe nyuma ya hapo....msambaa anahamaki na kutoa mkwara...nyuma hafi.r.wi mtu asee nitamtoa mtu roho na kisu asee
mara likaja baunsa basi msambaa akajua hapa nafi.r.wa na kisu changu...hee kufika baunsa likabana pua...mapeas bei gani
msambaa akabeba mizigo yake na kurudi Tanga akijisemea...kama baunsa katafunwa basi mimi siko salama
MOMBASAAAAA
tu kutongoza yaani ni kushika mkono tu
Kuna story ya kujikata uume na kiwembe kisha ukachomekwa mahali halafu damu ikakata
Baba aliwahi kunisimulia vituko vya Mombasa, alisema ya vituko vya huko kulikuwa na nighr club moja yaani ukifika kwenye geti kuingia ndani unavua nguo zote, ukifika ndani ni madem wa kumwaga, mashine yako na efficiency yake tu
Pambana na hali yako mkuu, baba alisomea Kenya, then ni Mwenyeji wa Lamu so anaijua mombasa nje ndani na hiyo sio miaka hii bali ilijuwa miaka ya btn 54 - 64 huko,Na wewe ukaamini....
Wabongo sijui mna akili gani tu... Kama mapunguani vile
Yaani unakaa unachekelea story zinaitwa "za kusaidikika"
Hahaha duuhHahaha nakumbuka walisema Mombasa sehemu salama ya kufunga kamba za viatu ni chumbani kwako pekee, tena ukiwa mwenyewe na umetia lock milango yote.
Hebu jisome hapa View attachment 573540hapa ndio umethibitishwa kujiunga JF(most likely multiple ID)Kawadanganye shemeji zako kijijini....
Mshana huyo Dogo inaonekana alishawahi kuliwa na watu wa Mombasa ndo maana akili zake za kizwazwa watoto wa chekechea wana matatizoHebu jisome hapa View attachment 573540hapa ndio umethibitishwa kujiunga JF(most likely multiple ID) View attachment 573543post yako ya kwanza unatafuta kazi (fresh from school) View attachment 573544post hii umeshinda pesa nyingi 101milion, na mshahara unao na mapato mengine ya kubet (ndoto za ma jobless wengi walio stranded, huku ukiwa na hamu ya kuendesha Allex (hujawahi kumiliki gari)
Post ya mwisho unatafuta chumbahapa muongo ni nani kati yangu mimi na wewe?![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona unamsasambuaHebu jisome hapa View attachment 573540hapa ndio umethibitishwa kujiunga JF(most likely multiple ID) View attachment 573543post yako ya kwanza unatafuta kazi (fresh from school) View attachment 573544post hii umeshinda pesa nyingi 101milion, na mshahara unao na mapato mengine ya kubet (ndoto za ma jobless wengi walio stranded, huku ukiwa na hamu ya kuendesha Allex (hujawahi kumiliki gari)
Post ya mwisho unatafuta chumbahapa muongo ni nani kati yangu mimi na wewe?![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Pana kijana mmoja kaibukia penye umende (ubasha )akawa na kasi sana akijaribu kushindana na mkongwe mmoja katika fani hiyo basi kila akipata shoga na kulishughulikia alikuwa anachukua kinyesi na kwenda kumpa mkongwe anuse basi lile zee likinusa tu linamwambia basha kijana huyu shoga wa sehemu fulani na huyu wa mahala fulani ikimaanisha kuwa mzee ameisha washughulikia so ana fahamu harufu zao. ikawa hivyo basha kijana akaona kweli bado ni mchanga penye fani basi siku hiyo akampelekea kinyesi
chake mwenyewe akamuuliza huyu shoga wa wapi? Mzee kila akinusa harufu haiji kila akiisikilizia haipati ikabidi amwambie kijana huyu sijawahi kushughulikia tena anaonekana ni bikra kijana akawaka kinyesi changu hicho acha mambo yako.

Huwa namfatilia sana Blaise Pascal, kuna sehemu aliwahi sema " SMALL MIND ARE CONCERNED WITH EXTRAORDINARY WHILE GREAT ONE WITH AN ORDINARY ".![]()
![]()
![]()
Huyo jamaa ana frustrations za maisha
Kajiunga April 2017
Post ya kwanza akawa anatafuta kazi
Post ya pili may akawa eti kashinda kubeti million 101, na wakati huo huo mshahara umetoka na upuuzi mwingine mwingi tu
Post ya tatu July anatafuta chumba cha kupanga sio maeneo ya mwenge
Hebu tafuta uhalisia hapo
Sent using Jamii Forums mobile app

...