Story za kusadikika za Mombasa

Story za kusadikika za Mombasa

Hahahahahahaaa namkimbuka mtu mmoja anaitwa juma bhalo aliimba yangu pete imenitoka aliimba kama analia alikua analilia peteisiyo ya dhahabu wala almasi lakini pete huyu mshenz aliwatisha sama mabarobaro wa dar na maeneo mengine kuiendea mombasa maana waliogopa story ambayo nahis pia ilitungwa ambayo ipo nyuma ya huu wimbo pete (kautafute uusikilize vizuri) inasemekana issa matona alienda mombasa kutokea zenj maana haya ni maeneo ya karib issa hakua mkali sana wa taarab enz za akina bhalo alionekana ni kama muimba kadumbak na disco chakacha bas alipojitambulisha anakuja kufanya onyesho la taarab mombasa juma akamfanyia huu mchezo kila alipoenda kula akipanda daladala mpaka alipoenda kulala akawa anaambiwa ushalipiwa wewe akitoa hela watu hawataki wansema tunepokea mara mbili yake issa akaogopa akasubiri bot ya usiku akarud zanzibar hapo akaimba nyimbo isemayo babu jinga inama ufikiri mali yako inaliwa akimwambia bhalo bhalo nae ndio akaimba wimbo wa pete
huku akilia akimaanisha aliikua anaililia pete ya matona

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana kwa hiyo pete yenyewe ni mambo flan yale Mombasa mzee akaona isiwe kesi ngoja nirudi wasinitatue marinda. Duuuuh hii kali aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahaaa namkimbuka mtu mmoja anaitwa juma bhalo aliimba yangu pete imenitoka aliimba kama analia alikua analilia peteisiyo ya dhahabu wala almasi lakini pete huyu mshenz aliwatisha sama mabarobaro wa dar na maeneo mengine kuiendea mombasa maana waliogopa story ambayo nahis pia ilitungwa ambayo ipo nyuma ya huu wimbo pete (kautafute uusikilize vizuri) inasemekana issa matona alienda mombasa kutokea zenj maana haya ni maeneo ya karib issa hakua mkali sana wa taarab enz za akina bhalo alionekana ni kama muimba kadumbak na disco chakacha bas alipojitambulisha anakuja kufanya onyesho la taarab mombasa juma akamfanyia huu mchezo kila alipoenda kula akipanda daladala mpaka alipoenda kulala akawa anaambiwa ushalipiwa wewe akitoa hela watu hawataki wansema tunepokea mara mbili yake issa akaogopa akasubiri bot ya usiku akarud zanzibar hapo akaimba nyimbo isemayo babu jinga inama ufikiri mali yako inaliwa akimwambia bhalo bhalo nae ndio akaimba wimbo wa pete
huku akilia akimaanisha aliikua anaililia pete ya matona

Sent using Jamii Forums mobile app
watu wa wazamani walikuwa wahuni sana halafu uhuni wao ulijificha kwenye mafumbo, kiasi kwamba ilikuwa ni vigumu watoto kuelewa
Umenikumbusha ule usemi usemao Mombasa makalio mali kidole Benz (kwa sauti ya pwani)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Kiba kashalipiwa?
98d1860f4e823001a349b1cfb4db0bfe.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msambaa alienda mombasa kuuza mapeas. Akatahadhalishwa ajichunge maana anaweza kuliwa kama akiwa mpole.

basi kila wakija kuulizia mapeas bei gani, msambaa anajibu...pale hamsini, na pale mia
wakiuliza nipe nyuma ya hapo....msambaa anahamaki na kutoa mkwara...nyuma hafi.r.wi mtu asee nitamtoa mtu roho na kisu asee

mara likaja baunsa basi msambaa akajua hapa nafi.r.wa na kisu changu...hee kufika baunsa likabana pua...mapeas bei gani

msambaa akabeba mizigo yake na kurudi Tanga akijisemea...kama baunsa katafunwa basi mimi siko salama

MOMBASAAAAA
 
Range Rover na bilioni kadhaa???!!Huyo meya ana kipato gani aseee?Kipi kimemfurahisha kwa kiba hadi ampe zawadi nono kiasi hicho???!!Acha tu ziendelee kuwa hadithi za kusadikika

sio meya ni Gavana wa Mombasa hassan Joho, mwenyewe hujiita sultan. Jamaa ana pesa mingi sana na ni rafiki yake sana na kiba. huyu jamaa huwadondosha akina cris brown, ne-yo, nk pale Mombasa. ako na pesa mingi sana
7a5aa2583a7676f5d7efd8eebceb005a.jpg

7953ae98668f0c10ea4bface947808b9.jpg

IMG_0947.jpg

IMG_0948.jpg

IMG_0949.jpg
 
Kiba inawezekana hajui ishu ya jaza ujanzwe
Atakopokuja kuombwa 0713......... Asianze kutoa

Mpe anae kupa
 
Mombasa hata pool table inachezwa bila kuinama.Meza ya pool iko usawa wa kifua

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Msambaa alienda mombasa kuuza mapeas. Akatahadhalishwa ajichunge maana anaweza kuliwa kama akiwa mpole.

basi kila wakija kuulizia mapeas bei gani, msambaa anajibu...pale hamsini, na pale mia
wakiuliza nipe nyuma ya hapo....msambaa anahamaki na kutoa mkwara...nyuma hafi.r.wi mtu asee nitamtoa mtu roho na kisu asee

mara likaja baunsa basi msambaa akajua hapa nafi.r.wa na kisu changu...hee kufika baunsa likabana pua...mapeas bei gani

msambaa akabeba mizigo yake na kurudi Tanga akijisemea...kama baunsa katafunwa basi mimi siko salama

MOMBASAAAAA
Hahahha ashakum si matusii umenivunja mbavu kwa kichekooo hahahah
 
Msambaa alienda mombasa kuuza mapeas. Akatahadhalishwa ajichunge maana anaweza kuliwa kama akiwa mpole.

basi kila wakija kuulizia mapeas bei gani, msambaa anajibu...pale hamsini, na pale mia
wakiuliza nipe nyuma ya hapo....msambaa anahamaki na kutoa mkwara...nyuma hafi.r.wi mtu asee nitamtoa mtu roho na kisu asee

mara likaja baunsa basi msambaa akajua hapa nafi.r.wa na kisu changu...hee kufika baunsa likabana pua...mapeas bei gani

msambaa akabeba mizigo yake na kurudi Tanga akijisemea...kama baunsa katafunwa basi mimi siko salama

MOMBASAAAAA
bowlibo weee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom