mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,577
- 11,204
Ilikuwa jioni tulivu , Kijana maridadi alikuwa ndani ya gari lake. Njiani ghafla alikutana na paka mdogo katikati ya barabara. Huruma ikamjia akapaki gari lake pembeni akamwendea yule paka. Maskini kijana huyu hakujua Kama paka mzima ama amekufa. Akamgusa lakini hakushtuka, Akamgusa tena natena Akamgusa.
Kama nilivyo kueleza habari hii ni ya kugusa hivyo imefikia mwisho wake!
Kama nilivyo kueleza habari hii ni ya kugusa hivyo imefikia mwisho wake!