Story of my life

Story of my life

Uza viatu nunua kitanda,
Ubitoz mbele za watu ili hali ndan hakufanyi vizuri ni dhambi
Hivo viatu ungenunua vitanda viwili mpaka sasa
Uza viatu ununue kitanda
Hongera ila starehe za kuvaa kl aina ya kiatu inaweza kukukwamisha. But nikupongeze sana kwa kuamua maana kuna vijana humu bado wanagongea dawa ya mswaki na wazazi .
kweli kupanga ni kuchagua, pair 7 za viatu alafu huna kitanda. lakini uko kwako hata kama umepanga hapo ndio kwako, hongera kwa kuianza safari.
😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
 
Haha , mm nimeanza kwenye kanyumba ka tiles sema nini mkuu

Umenizidi hizo pairs za viatu tu
 
nakumbuka safari yangu iliazia pale magomeni[fundikira]chumba cha 50000, ila bafu pasport size humo humo choo na bafu,chumba kipo uwanii,unakatiza korido ya nyumba kubwa kila mlango ndoo na jiko, mara kigoda basi tafarani,mara vyuu unatokezea uwani ghetoni.upande wa pili kulikuwa na nyumba ya matejaa laana, hapo hapo wanauza vitu.[dawa na ganja]
msela ndo nimelamba ajira nimetoka kwetu arachugaa[sanawari] nimekuja bongo Dar es salaam,hi ni baada ya kukaa kwa ndugu miezi miwili na kuamishiwa store[hahahaha] nikaona nisepee nikakomae.nilikua nimenunua kitanda na godoro. nilianza hivyo nikaongeza kapeti tu nikahama. serious hata mwili ulianza kuja maana mauzi yalipungua
nakumbuka demu mmoja nilimtongoza basi akataka ni mlete getho hahahah,hahaha kesho yake akanitangaza vibaya kwa rafiki yake, ila ndo alinipa hasira kila mwisho wamwezi nikawa na nunua kitu, ndani ya miezi 4 gheto limejaa na kila kitu kinacho stahili kuwa ndani.nikamualika tena akajiachia nikamegaa nikapigaa chini.
huwa nafraia nilipo toka na nilipo sasa nasema alhamdulilaaaaah
 
Sisi ni wa sema yes we exit here at jf sio kina kiduku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom