Story of my life

Story of my life

Umenishinda sana, una pea nyingi sana za viatu, mi zikizidi sana sana 3
 
Mkuu Kama hii picha ni yako kweli basi umejitahidi sana na naamini utafakiwa haraka sana..
Maana humu jf watu wote asilimia kubwa hujivika maisha ya kitajiri, wote wana magari ya kifahari wanamajumba ya kifahari n.k
Kama Ni kweli kila mtu huku ana maisha mazuri kwanini tusimchangie tumpige tafu mwana jf mwenzetu
 
Kama Ni kweli kila mtu huku ana maisha mazuri kwanini tusimchangie tumpige tafu mwana jf mwenzetu
Wewe Mwanaume apigwi tafu wala aombi Mwanaume anapambana na anakopa.

Usipokuwa na changamoto kwenye Maisha basi wewe ni mufuuu yaani umekufwa uku unalanda landa mtaani.

Nusu nipakatwe kipindi sina hata pa Kulala leo nikuchangie una wazimu!?
 
Uza viatu nunua kitanda,
Ubitoz mbele za watu ili hali ndan hakufanyi vizuri ni dhambi
Kitanda sio lazima mzee, hapo yuko sawa tu godoro, mashuka ,ndoo ya kuogea kama hakuna shower,nguo na viatu ndio mpango mzima .
Mdogo mdogo kikabati cha nguo hata vile vya zipu ,baadae ndio kitanda tena baada ya kupata tv na redio (kama kazi yake haizidi masaa 12)zaidi ya hqpo achana na hizo mambo mpira utaangalia bar kiingilio soda au bia!
 
Kama Ni kweli kila mtu huku ana maisha mazuri kwanini tusimchangie tumpige tafu mwana jf mwenzetu
Muibukie dogo pm akupe contacts umpige tafu,jion ukitoka job unaenda geto kwake na vanguard yako unaipaki ccm maana naamini njia haipitiki kisha unaenda kumcheck dogo,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom