themanhimself176
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,836
- 2,925
Acha kutulisha matango pori akuna mtu mwenye uwezo anaanzaga ivyo hizo story za juma na uledi peleka kwa wenzio!!!!
Kwani nimekulazimisha uwamini boss
Kama uwamini pita ivi sio lazima
Acha kutulisha matango pori akuna mtu mwenye uwezo anaanzaga ivyo hizo story za juma na uledi peleka kwa wenzio!!!!
Nenda pale ubungo darajani utapata vitanda used kwa bei poa kabisaKitanda ni bei sana. inahitajii kujipanga maana bila 100k huwezi pata.. Hivyo viatu elfu kumi kumi unapata mjini ilala
Nenda pale ubungo darajani utapata vitanda used kwa bei poa kabisa
+ smartphoneHivo viatu ungenunua vitanda viwili mpaka sasa
Nenda pale ubungo darajani utapata vitanda used kwa bei poa kabisa
Huyu halali store mbona, according to picha aliyotuma.Kumbe tupo wengi tunaolala store lakini ipo siku tu
Ninamaana analala na mtungi wa gas, unga, mchele na vitu vingine hajaviobesha tuu na ndyo maana ya storeHuyu halali store mbona, according to picha aliyotuma.
Uza viatu nunua kitanda,
Ubitoz mbele za watu ili hali ndan hakufanyi vizuri ni dhambi
Hivo viatu ungenunua vitanda viwili mpaka sasa
Uza viatu ununue kitanda
Hongera ila starehe za kuvaa kl aina ya kiatu inaweza kukukwamisha. But nikupongeze sana kwa kuamua maana kuna vijana humu bado wanagongea dawa ya mswaki na wazazi .
😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎kweli kupanga ni kuchagua, pair 7 za viatu alafu huna kitanda. lakini uko kwako hata kama umepanga hapo ndio kwako, hongera kwa kuianza safari.
Inategemea kanunua bei ganiHivo viatu ungenunua vitanda viwili mpaka sasa
Wanezoea vya 50kJamani viatu bei gani hadi mnamkazania mwenzenu eti auze anunue kitanda?
Apunguze papuchi na kununua viatu..Ila hapo punguza papuchi mzee baba miez mitatu mbele ukileta tena picha pamejaa
Unatandika godoro.godoro likiwa chini huwezi tandika kitanda?
unalitandika limekukosea niniUnatandika godoro.