Story of my life

Story of my life

My journey starts right here! Never be afraid to start. View attachment 1114352
Hii picha inaonesha wewe ni jasiri sana you have started well. Una pa kulala na kuamka sio homeless.

Nimeona una pair za kutosha za snickers, means unajipenda, wanasema unadhifu unaficha umaskini na kuboost confidence.

Keep your head up piga mishe safi, omba Mungu, save pesa yako hata iwe ndogo, chagua demu sahihi anaekuelewa. Baada ya mwaka 1 au 2 utakuwa mbali sana.
 
Mkuu Kama hii picha ni yako kweli basi umejitahidi sana na naamini utafakiwa haraka sana..
Maana humu jf watu wote asilimia kubwa hujivika maisha ya kitajiri, wote wana magari ya kifahari wanamajumba ya kifahari n.k
Wrote"=na wewe ukiwrmo?
 
Kila mtu ana mke mzuri pia umesahau na hakuna anaeishi mbagala
Mkuu Kama hii picha ni yako kweli basi umejitahidi sana na naamini utafakiwa haraka sana..
Maana humu jf watu wote asilimia kubwa hujivika maisha ya kitajiri, wote wana magari ya kifahari wanamajumba ya kifahari n.k
 
Hongera mkuu....

M navopenda mziki ungekuta nsauza iyo hotpot beg na viatu pair 4 nmenubua Sound....,!kil la heri
 
Wakati mzuri wa kutafuta mpenzi ndio huu,anayeweza kuvumilia na atakaye kuboost uwe zaid ya hapo.atakaye acha legacy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom