Story of my life

Story of my life

2011 naingia dar kwa mara ya kwanza nilikuwa na 'omsambi' Mungu ni mwema naona maendeleo ila hakija mtu geto anaona unaishi kimaskini kumbe hajui ulipotoka ...
Pambana kijana
 
Safi ila ukipata pesa usinunue viatu tena angalia na vitu muhimu.mfano kapeti ya ndani au weka chini ya godoro
 
Hivo viatu ungenunua vitanda viwili mpaka sasa
Jamani sasa kuna viatu hapo au munakitu kingine munatafta kwa kijana wawatu ivyo viatu vyote ni vya soko la karume namba ndogo bei ni 7000 mpk 10000 vyote avifiki laki moja sasa mlivyo vishadadia dah!!!!!
 
Bro usijali nimeanza kama wewe thou uwezo nilikuwa nao ila nimeanza ivyo ivyo

Umenishinda pair za viatu tu

Usikate tamaa nakupa miezi mi 4 au 5 lazima kuwe kumebadilika kma unataka mabadiliko
Acha kutulisha matango pori akuna mtu mwenye uwezo anaanzaga ivyo hizo story za juma na uledi peleka kwa wenzio!!!!
 
baada ya miaka 5 atarudi hapa kutupa feedback wengine tutabaki tukinong'ona kikubwa nimependa uhalisia wako hongera sana kaka na kijana mwenzangu.
 
Mm nilianza bila godoro....nlkuwa natandika gunia tu,half DSM hii kulivyo na joto usiku ,hakuna neti wala feni ..ilkuwa hatari...lkn mwanaume popote kambi...saiv getho limekuwa fresh na washkaji wakija wanalitamani yaan.....hawajui nilianza lalia chini...jikaze tu mwana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom