Story: Money Penny ni nani lakini?!

Story: Money Penny ni nani lakini?!

du sijawahi kuona mwanamke huku jf wewe ndo wa kwanza
 
Haki ya nani uongo zambi ndo nimekujua leo japo heading za stori zako mbili nishazionaga humu
 
Haki ya nani uongo zambi ndo nimekujua leo japo heading za stori zako mbili nishazionaga humu
karibu sana mpendwa

hadithi umeionaje?

Kati ya tajiri na kaka wa kempinskia yupi nimkubali kama kweli umeisoma?
 
Jeeeeeeeeeeeeeeeesoooooooooooos is Loooooooord

ivi umemaliza kusoma hadithi kuna maswali nataka kukuuliza

nani Kidume pale kati ya Tajiri na yule wa Kempinski?
Babu kijana bado hujamjua vizuri si unaona edo anakwambia sio mtu mzuri ukute ana file lake , huyo kempisk nae ndoivo ila bora kempisk asee damu bado inachemkaaa afu dizain anausoma mchezo so mnaenda levo zee shamba lanini kugandaaanaaa sa busu tu limemlowesha chup,,,,

Ila nisijaji sana story bado wacha niusome mchezo kwanza


Cc Smart911
 
mambo gani haya ya kutiana nyeg mwanzoni mwa mwaka ha ha maneno unayo yanakutoka tu toto la kichaga
 
Babu kijana bado hujamjua vizuri si unaona edo anakwambia sio mtu mzuri ukute ana file lake , huyo kempisk nae ndoivo ila bora kempisk asee damu bado inachemkaaa afu dizain anausoma mchezo so mnaenda levo zee shamba lanini kugandaaanaaa sa busu tu limemlowesha chup,,,,

Ila nisijaji sana story bado wacha niusome mchezo kwanza


Cc Smart911
ahahahaha Eedo Edo Edo

haya

NJOO USOME HII YA KUMTONGOZA ZARI Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke

NA HII YA LEO JAMAA AMESHINDWA KUMTONGOZA WEMA Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke
 
samahani mkuu ila mi naomba kujua wakati unasoma hiyo executive MBA yako dissertation yako ilihusu nini
 
Back
Top Bottom