Story: Money Penny ni nani lakini?!

Story: Money Penny ni nani lakini?!

Kuna kipind tulikua group moja whtsp nawewe dada jinsi ulivyo msumbufu nilinyooka nika left bila kupend, kila dk unatuma msg ndefu balaa
ahahahahaa pole best

njoo pm nikupe namba ujiunge kwenye grup langu la stori

asante kwa kunithamini though, Ubarikiwe!

mje na huku nimeshusha hadithi mpya... shuka chini utaiona Story: Money Penny ni nani lakini?!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zikipanda namgea tu apite kama anasimamia ukucha na pesa ipo aaaaaaaaaaaa kwani ataondoka nacho???[emoji15] [emoji15]


Cc Smart911
na hivi vyuma vimekaza lazima achukue tu selfie
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Dah yani kitendo cha kukosa pesa kinanifanya niwe bubu mbele zako. Nkizipata hakika utakua wa mwsho kuzitumia nakwambia
ivi ni wewe uliniambia kuwa mimi nimeokoka mpole?

natumia za mume wangu huu mwaka wa 16 nimeingia... kuchepuka hata sijui maskini ni bikra wa watoto 4 pamoja na babayao!

Pesa za mume taaamuu... namwombea asife tu maana ntaliaje
 
Weee ataanzaje kwa mfano hayo mambo ya vijana kizee ukikivulia tu network inakata hata ukiombe nini kinakubalii tu ilimradi kiguse kidogo hoiiiiii

Cc Smart911
Jeeeeeeeeeeeeeeeesoooooooooooos is Loooooooord

ivi umemaliza kusoma hadithi kuna maswali nataka kukuuliza

nani Kidume pale kati ya Tajiri na yule wa Kempinski?
 
ivi ni wewe uliniambia kuwa mimi nimeokoka mpole?

natumia za mume wangu huu mwaka wa 16 nimeingia... kuchepuka hata sijui maskini ni bikra wa watoto 4 pamoja na babayao!

Pesa za mume taaamuu... namwombea asife tu maana ntaliaje
Kila lakheri kwenye kufunga na kumheshim usijeanza kuleta vinyuzi vya kumdharau umu ntakulaani mpka mim
 
Back
Top Bottom