Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,131
- 14,610
Mpwayungu Village mchizi wangu gwala popote ilipo Scars OKW BOBAN SUNZU Greatest Of All Time Half american DeepPond 2 Chainz_ johnthebaptistWanawake
Mary: 'Hallow mpenzii'
Lily: 'Niambie my dear'
Mary.: 'Pouwaa za siku jamani'
Lily: 'Nzuri rafiki Yangu wa damu'
Mary: 'Jioni nakuja kwako tule na kunywa japo wine wangu.'
Lily: 'Nakusubiri kwa hamuu mpenziiii'
Baada ya kukata simu kila mmoja anawaza.
Lily: 'Huyu mchawi wa kike leo anataka kuja kwangu wala hanikuti.'
Mary: 'Hahahahaaaa Uwiiiiiiiiii huyu kahaba eti nakusubir Kwa hamuu nani aende.'
Wanaume.
John: 'Niaje we mbwaa'
Sam: 'Pouwa kichaa wanguu'
John: 'Upo wap mpumbavu wewe.'
Sam: 'Niko hom, we fala Uko wap?'
John: 'Baadae nakuibukia jambaz langu tukale bata.'
Sam: 'Pouwaa we mjinga nakusubiri.'
Baada ya kukata simu kila mmoja anawaza.
John: 'Dah baadae nikakae na mwanangu Sam sijamuona long time.'
Sam: 'John bwana akiwa na pesa lazima anitafute mwanaeee.:
Moral of the story.
Baadhi ya wanawake hujifanya wanapendana kwa maneno lakini ni kwa nje tu!! ndani WANACHUKIANA SANA.
WANAUME unaweza Kudhani hawapendani Kwa Maneno lakini WANAPENDANA..
Mpe βοΈ mchizi wako / shost wako kwa tag kudumisha upendo wenu.
Peterrabbit π₯π
Stress free zone
π Wanavimbianailo niliwahi kulifanyia uchunguzi, urafiki baina ya wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawe, wa wanaume unadumu miaka yote labda mje kuzinguana kwenye masuala ya pesa ila mtanuniana baada ya muda maisha yanaendelea,
wanawake urafiki wao uwa hauchukui round coz kila mtu anajiona ni fahari zaid ya mwingine. akiona mwenzio kapendeza, amenawiri ama ameolewa bas chuki ata salamu anakata, ila sio wote
We'll done broπMpwayungu Village mchizi wangu gwala popote ilipo Scars OKW BOBAN SUNZU Greatest Of All Time Half american DeepPond 2chainz johnthebaptist
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£We'll done broπ
Chukua kabisa maua yako nduguππππ
We Fala Umetisha sana. πMimi nataniana na wanaume kuliko hata wanawake.
Kuna marafiki zangu wa kiume nikimpigia au akanipigia ni vicheko tu.
Mimi : weee mpuuzi upo wapi?
Wao : wee fala nini? Ntaenda wapi sasa niko kwa wifi yako nimelala.
Mimi : mpuuzi mkubwa unalala unalala nini una hela?
Wao : we fala una ishu?
Mimi : kiazi wewe fasta wahi hapa chapπ π π
Watag mkuumods waunganishe uzi
Wanawake hawapendani, that is the factMpwayungu Village mchizi wangu gwala popote ilipo Scars OKW BOBAN SUNZU Greatest Of All Time Half american DeepPond 2chainz johnthebaptist
Umemaliza bro japo hawapendi kuambiwa ukweli πWanawake hawapendani, that is the fact
Ni uongo? πMnatujua kuliko hata tunavyojijua...π€
We ndio unajua.....πNi uongo? π
Kuna mmoja nipo nae hapa akiwa anaongea na wahudumu wa kike anakuwa busy na simu. Nimemshauri hiyo sio ustaarabu na ni dalili ya dharau. Kama mtu amekupa attention ya kukusikiliza kwa nini wewe pia usimsikilizeUmemaliza bro japo hawapendi kuambiwa ukweli π
Pokea maua yako kabisa πππππ
π₯π