Stori ya kusisimua - Taxi

Stori ya kusisimua - Taxi

Wenye I'd mingi mingi Mungu anawaona!
Dada'angu, siwezi na wala sifikirii kuwa na IDs zaidi ya hii ninayotumia. For what? Ninachokifanya ni kwamba, Litro ni mtu wangu wa karibu sana na nilikuwa sijui kama humu JF anatumia ID hii. Tangu nilipogundua nimeamua kufanya fujo...

NB: Litro 👩‍🦱
 
Hmm! N'takwambia siku nyingine mama, naona kuna watu wanataka kuchafua hali ya hewa😜...

NB: @Litro👩‍🦱
Wacha wee!😀😀 usijali mtunzi nguli, umesomeka vyema. sema ungekuwa unalewa ningekuletea mzinga wa whisky jioni utoe machungu
 
Dada'angu, siwezi na wala sifikirii kuwa na IDs zaidi ya hii ninayotumia. For what? Ninachokifanya ni kwamba, Litro ni mtu wangu wa karibu sana na nilikuwa sijui kama humu JF anatumia ID hii. Tangu nilipogundua nimeamua kufanya fujo...

NB: Litro 👩‍🦱
endelea kusongesha askofu buanaaaa...........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom