Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
Hahaha sasa nakutambulisha nini jamani mwenyewe sijaelewa kama weweNyooo hujanielewa au
Hahaha sasa nakutambulisha nini jamani mwenyewe sijaelewa kama weweNyooo hujanielewa au
Mwanzo hata me nilimuona mjinga mjinga ila sasa nimeanza kumuona ofsa nimemrudishia vyeo vyakeDuuu haya sasa Sammy mjinga mjinga kakutana na x wake
Hapo ndo picha linaanza subiri uoneDuuu haya sasa Sammy mjinga mjinga kakutana na x wake
Tulikuwa wote Kwa lege toka 2016Hahaha sasa nakutambulisha nini jamani mwenyewe sijaelewa kama wewe
Hahaha sasa nakutambulisha nini jamani mwenyewe sijaelewa kama wewe
hua napata mshituko nkiiona hio avatarMoto ndo unawaka sasa, Winie ametoroka kupitia jikon tayar
Mbona nakukumbuka vizuri tu jamaniTulikuwa wote Kwa lege toka 2016
Namkumbuka bwanamtoto wa watu anajitaidi hivyo kukukumbusha
mtoto wa watu anajitaidi hivyo kukukumbusha
Mbona nakukumbuka vizuri tu jamani
Sio kesi nini tena kwahiyo ningesema uongo kuwa sikukumbukiSawa nashukuru au ndo umeona so kesi yaisheee ha ha ha
Ni kweli hujaelewa shemeji Shunie? Si kwamba ndio wanatambulishana tena bali Sammy anakumbuka walivyokutana huko nyuma.kuna kipande hiki, nacho hujakiona?:Sijaelewa mara tunu na sammy wanajuana mara wanaulizana tena majina![]()
Ooh basi hiko kipande kilinipita asante sana jamani kwa kunikumbushaNi kweli hujaelewa shemeji Shunie? Si kwamba ndio wanatambulishana tena bali Sammy anakumbuka walivyokutana huko nyuma.kuna kipande hiki, nacho hujakiona?:
Sammy alishusha pumzi, akajaribu kuvuta picha kukumbuka alivyokutana na Tunu miaka kumi na moja iliyokuwa imepita kwenye mahafali ya wanafunzi waliomaliza kidato cha sita ya Shule ya Wasichana ya Jangwani jijini Dar es Salaam, siku hiyo Tunu alikuwa mmoja wa wanafunzi wahitimu wa kidato cha sita.
Shida nn mkuu, au unaikumbuka hii picha nilipokuwa mdogohua napata mshituko nkiiona hio avatar
nadhani hapa anakumbuka jinsi walivyokutanaDuuu haya sasa Sammy mjinga mjinga kakutana na x wake
Bishop uko wapi jamani