cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Ukiona mwanamke anakuomba hela ujue kuna bond ipo kati yenu, sio from no where afu akuombe haiwezkan,Tafuteni zenuuu....sio kuwa maombaombaaa
Na nyie acheni kuwa vitombi, mbaki na hela zenu.






hamna mapenzi siku izi
ua halipigwi kofi. Unasikia? Wasukuma mmezoea saana kutumia maguvu kama mnavuna pamba mashambani