Duuu l???



shehe hapo nyuma amesalimika kweli!



Hahahah!Duuu l???
A#BZanzibar sio nchi ya kiislam bali wakazi wake wengi ni waislamu.
Zanzibar si nchi ya KiislamDada wa watu alijua ukija Zenji unajiachia kama upo copa cabana teh,kumbe yuko kwny inchi ya kiislamu.
A#BZanzibar si nchi ya Kiislam
Joto ndugu... Wala sio mapenz yake
Inaweza kuwa si ya Kiislam lakini ni ya Waislam.Zanzibar si nchi ya Kiislam
Kwa hoja gani hasa?Inaweza kuwa si ya Kiislam lakini ni ya Waislam.
90% ya mahoteli ya kitalii ya ufukweni Zanzibar ni ya nani?Wanatumwa na nani?