Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,216
- 7,907
Watanzania ninaita umeme, wakenya wanependa kuita stima, je neno lipi liko sahihi zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeme ndo sahihi .......Watanzania ninaita umeme, wakenya wanependa kuita stima, je neno lipi liko sahihi zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo kuna kivumishi kiambishi na nomino
Simba akichukua ubingwa nitaitoa na kuonesha ukomavu nitaweka ya simba mwezi 1hapo kuna kivumishi kiambishi na nomino
hahaa.. mabeberu wanaendelea kubanwa mbavu!Kama kikitumika Kiswahili neno sahihi ni umeme.
Stima ni lugha chotara yenye kuleta uchochezi