Keynes
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 533
- 89
Inasikitisha sana kuona serikali inajikita kwenye vi miradi vidogo vidogo vya umeme ambavyo vinajengwa mijini katika jiji la dar es salaam.
Embu jiulizeni tangu lini vitu kama vinu vya nishati vikawekwa mijini kwenye makazi ya watu? Mahitaji ya umeme yatakapokuja kuongezeka watapanua vipi hivyo vimi radi? Au yatakuja yale yale ya kunyanyasa wananchi na kuwahamisha pasipo fidia?. Mitambo ya utengenezaji wa nishati za umeme popote duniani huwekwa mbali na makazi ya wananchi kwa sababu ya kuepuka maadhara ya matetemeko ya ardhi, mazingira na miale ambayo badae inasababisha kansa n.k.
Ila kwa sababu hii ni miradi ya watu fulani serikali haitaki kufanya jitihada za kujikomboa kwa hili kwa sababu mafisadi ambao ni washika uchumi watakosa kipato.
Mwaka 2005 baada ya uchaguzi kama mnavyojua chama tawala hutumia garama kubwa sana kwenye kampeni na wagaramiaji ni Mafisadi walibuni namna ya kurudisha garama zao kwa kuanzisha Richmond. Kwa sasa baada ya uchaguzi kero imerudi pale pale ili miradi ya haraka ipitishwe hela zilizosambaza mabango zirudi. Isitoshe nadhani pia mmeona kesi ya DOWANS NA TANESCO tayari dowans wameshinda kimazabe na hela mtakayowalipa ni tosha kabisa kurudisha garama za uchaguzi.
Hii ni kazi inayofanywa na watu 3 ambao ndio top wa mafisadi....kila mradi wa kuhujumu uchumi wapo.
JE TUWAFANYE NINI? WANANCHI ZAIDI YA MILION 40 TUMESHINDWA CHA KUWAFANYA HAWA WATU? TUTASUBIRI MPAKA LINI WAKATI TUNAZIDI KUDHOOFIKA KWA NJAA?