OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,344
hayo ni maoni yako ama mshangao?!
haeleweki huyu bwana achana nae, utapoteza muda bure!!
hayo ni maoni yako ama mshangao?!
Hapana kumetolewa ufafanunzi
somewhere kwamba ni typos mwanzilishi wa CDM ni GEORGE WASSIRA mdogo
wake na STEVEN WASSIRA.
..i hate u...kwa nini umuite mzee wa GOMBE??? unawachafua wanaCHADEMA wote kwa kuleta ubaguzi wa maumbile ya mtu...hiyo ndiyo SUMU ya ubaguzi mliyonayo wakereketwa wa CHADEMA..
CCM endeleni kutumia udhaifu wao kujikita katika siasa za kistaarabu...maana bado sijaona chama cha upinzani kinachoweza kushika dola...kama viti 40 tu vinawapa ukichaa je wakipata 80?
Hata shetani alikuwa malaika