Steven Wassira ni mwasisi wa CHADEMA?

..i hate u...kwa nini umuite mzee wa GOMBE??? unawachafua wanaCHADEMA wote kwa kuleta ubaguzi wa maumbile ya mtu...hiyo ndiyo SUMU ya ubaguzi mliyonayo wakereketwa wa CHADEMA..
CCM endeleni kutumia udhaifu wao kujikita katika siasa za kistaarabu...maana bado sijaona chama cha upinzani kinachoweza kushika dola...kama viti 40 tu vinawapa ukichaa je wakipata 80?

bila shaka wewe ndio muhusika.Kwa jinsi ulivyokasirika,nimekupata.we wakikuita mzee wa gombe wapotezee tu,muda utapita na watasahau kukuita mzee wa gombe.
 
NDIO HUYO HUYO AMEASISI PIA NCCR KAMA SIKOSEI HUYO NI KAMA WALE WANAWAKE WA OHIO WANAITWAJE???AU KAMA ILE SPANA INAYOFUNGUA NAT ZOTE hahahahaaa SURA YAKE SIJUI KINA MZEE MTEI WALIMPENDEA NINI
Lengo lilikuwa kumtishia Mrema aliyekuwa anawanyanyasa wapinzani akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani.
 
Yupi ni yupi sasa maana kuna Steven Wasira na George Wasira yupi ni mwasisi kama Tyson au Steven Wasira ni Mwasisi basi atakua amechanganyikiwa coz ccm, Nccr, CDM yeye huyo ccm, Makubwa. Jamani anaejua atupe ufafanuzi
 
..i hate u...kwa nini umuite mzee wa GOMBE??? unawachafua wanaCHADEMA wote kwa kuleta ubaguzi wa maumbile ya mtu...hiyo ndiyo SUMU ya ubaguzi mliyonayo wakereketwa wa CHADEMA..
CCM endeleni kutumia udhaifu wao kujikita katika siasa za kistaarabu...maana bado sijaona chama cha upinzani kinachoweza kushika dola...kama viti 40 tu vinawapa ukichaa je wakipata 80?

bila shaka wewe ndio muhusika.Kwa jinsi ulivyokasirika,nimekupata.we wakikuita mzee wa gombe wapotezee tu,muda utapita na watasahau kukuita mzee wa gombe.
 
Kwa hiyo? kwani kuhama chama inakatazwa?
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kusoma mambo na kuyaelewa. Soma upya nilichoandika, halafu soma pia comments za wenzako angalau utaweza kujipima una uelewa wa kiwango gani!
 
imagine...
Umkute jamaa amekomba mboga halafu kwa bahti nzuri awe ametafuna pilipili then awe kaukunja uso huku anausikilizia muwasho...
 
Huyo ni George Wasira na cyo Stephene Wasira
Nimesoma gazeti la Tanzania daima ambapo nimeona kati ya majina yaliyotajwa ya waasisi wa CHADEMA mmojawapo ni Stephen Wassira. Sijaamini! Au kuna Wasira mwingine tofauti na huyu tunayemfahamu?
 
Nimesoma gazeti la Tanzania daima ambapo nimeona kati ya majina yaliyotajwa ya waasisi wa CHADEMA mmojawapo ni Stephen Wassira. Sijaamini! Au kuna Wasira mwingine tofauti na huyu tunayemfahamu?

Siku utakayoambiwa Papa si Mkatoliki ndipo utapata ugonjwa wa moyo kabisa.

Murphy'S Law states that, things are never what they seem to be.

Wassira mbona kashakuwa mbunge wa NCCR wa Bunda.

Our politics revolves around personalities, not policies. Ndiyo maana leo Shibuda anatoka CCM anaingia CHADEMA kesho anapewa tiketi ya ubunge, keshokutwa anachaguliwa mbunge wa CHADEMA wa jimbo lile lile.

Ona hapa

Tanzanian Affairs » POLITICAL DEVELOPMENTS

wasira njaa inamsumbua kwa kifupi sio muasisi wa CDM ila alikuwa mwanachama wa NCCR na badaye akahamia ccm kupitia kwa Rostam Azizi
 
Ni mwasisi wa CDM, baadaye akaenda kuiasisi NCCR

Hajaasisi NCCR huyo msimpe sifa za bure. CDM na NCCR vilianza kipindi kinachokaribiana sana isingekuwa rahisi kwa mtu mmoja kuwa mwasisi wa vyama viwili tofauti kwa kipindi kimoja. Ila ukweli utabaki kuwa alikuwa ni mwenye njaa sana kwani alishawahi kuonja ubunge kwa tiketi ya NCCR 1995 akashindwa na warioba mahakamani. alihangaika na baadaye kurejea kwao huko aliko sasa, so far anachokifanya ni sawa na kuthibitisha kuwa sio mamluki wa upinzani ndani ya chama chao.
 
Stephen Wassira hajawahi kuwa muasisi wa chama chochote nchi hii. Alionyesha nia ya kuanzisha chama wakati fulani lakini ukata ukawa umemkwida kwelikweli. Baadae CCM-MTANDAO wakamwokota kwa bei nafuu sana akiwa mchezaji huru. Rostam akasimamia zoezi zima la kumsajili upya CCM. Sasa hivi hajambo kabisa. Yuko CC ya CCM na ni Cabinet Member wa serikali ya JMK. Hatakaa amsahau Rostam.

sasa wewe na mbowe nani anaijua CDM vizuri..??
 
Back
Top Bottom