Steven Wassira ni mwasisi wa CHADEMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Steven Wassira ni mwasisi wa CHADEMA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lukolo, Jun 12, 2012.

 1. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Nimesoma gazeti la Tanzania daima ambapo nimeona kati ya majina yaliyotajwa ya waasisi wa CHADEMA mmojawapo ni Stephen Wassira. Sijaamini! Au kuna Wasira mwingine tofauti na huyu tunayemfahamu?

   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  He is the one.
   
 3. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,290
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Wamekosea, muasisi ni mdogo wake Steven aitwaye George Wasira.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,472
  Trophy Points: 280
  offcourse..
   
 5. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hapana kumetolewa ufafanunzi somewhere kwamba ni typos mwanzilishi wa CDM ni GEORGE WASSIRA mdogo wake na STEVEN WASSIRA.
   
 6. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwani ulikuwa haujui kwamba back then Mzee wa Gombe alikuwa mpinzani?
   
 7. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,308
  Trophy Points: 280
  Inawezekana! Nimewahi kusikia kuwa ukiwa muumini mzuri wa dini ya haki,then ukaja kuasi na kurudia uchafu,akili yako haitakaa sawasawa,I mean utakuwa kama vile umechanganyikiwa hivi.
   
 8. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ni wakati ule alipokuwa akitafuta pa kujificha baada ya kumkimbia warioba ccm, akaishia kutua nccr ambako nako njaa ilimtengeneza akaamua kurudi kujisalimisha ccm. Namshangaa sana huyu mnafiki anavyowaponda wapinzani na kujifanya yeye ni ccm damu damu kumbe njaa tu.
   
 9. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Hata Mwalimu Yesu alieleza kwamba mtu akitokwa na pepo mchafu alafu pepo hilo likamrudia hali yake inakuwa mbaya zaidi ya ile ya mwanzo.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Ni mwasisi wa CDM, baadaye akaenda kuiasisi NCCR
   
 11. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  NDIO HUYO HUYO AMEASISI PIA NCCR KAMA SIKOSEI HUYO NI KAMA WALE WANAWAKE WA OHIO WANAITWAJE???AU KAMA ILE SPANA INAYOFUNGUA NAT ZOTE hahahahaaa SURA YAKE SIJUI KINA MZEE MTEI WALIMPENDEA NINI
   
 12. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Ni mmoja wa waanzilishi na kazi yake kubwa ktk vikao ni kukaa mlangoni/getini kulinda dhidi ya usalama wa taifa coz enzi hizo vikao vya siasa dhidi ya serikali ni wahaini
   
 13. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Labda kipindi hicho alikuwa zimetimia kichwani.Ila nimeamini mtu akihamia dini nyingine anakuwa na msimamo mkali kuliko aliowakuta
   
 14. T

  TUNTUUU Member

  #14
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  For my knwledge Steven Wassira ni muasisis wa NCCR
   
 15. k

  kaeso JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi ninavyojua alikuwa NCCR.
   
 16. W

  WildCard JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Stephen Wassira hajawahi kuwa muasisi wa chama chochote nchi hii. Alionyesha nia ya kuanzisha chama wakati fulani lakini ukata ukawa umemkwida kwelikweli. Baadae CCM-MTANDAO wakamwokota kwa bei nafuu sana akiwa mchezaji huru. Rostam akasimamia zoezi zima la kumsajili upya CCM. Sasa hivi hajambo kabisa. Yuko CC ya CCM na ni Cabinet Member wa serikali ya JMK. Hatakaa amsahau Rostam.
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  duh zee la gombe, maskini njaa inamsumbua si arudi tu home sweet home Gombe reserve
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Kumbe Wassira ndio kati ya waasisi wa Chadema..
   
 19. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  hayo ni maoni yako ama mshangao?!
   
 20. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Yah, but najua alikuwa NCCR mageuzi. Hata hivyo nashukuru kwa ufafanuzi wa baadhi ya watu kwamba mhusika halisi ni George Wassira na si Stephen Wassira.
   
Loading...