fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
Ukiona unafurahia kuvimbiwa wakati wengine wanalala na njaa, huna akili vizuri. Taifa kwanza maslahi binafsi baadae. Wasira alipotea siku nyingi sana, hana kujisifia au la kuwaeleza waTZ, nashangaa sana wapiga kura wa Bunda wanapokubalia awe mbunge wao, nashangaa siamini kama wale wasomi wa kijita kweli wanaweza kufanywa namna hiyo.