Uchaguzi 2020 Steven Wassira atangaza kugombea ubunge Jimbo la Bunda, Adai 2015 aliibiwa kura

Mkuu Mkuchika tayari ashatangaza kabisa kuwa naye yupo kwenye mtanange, watu wakamuuliza itakuwaje na uzee huo ukaweza kuwawakilsha walio kuchagua?

Jibu lake lilikuwa kuwa bungeni yeye haendi kubeba mawe au kupasua miamba bali ni akili tu.
hawa wazee wabishi balaa.
 
Mzee wangu kuna kitu kinaitwa kustaafu!! Miaka 70 kukimbizana na vijana damu changa mzee wangu utaanguka majukwaani!!
 
Mzee Wasira alikuwa RC Mara miaka ya mwanzo ya 1970 sie tukiwa vijana shulen, leo hadi mdogo wangu wa pili kastaaf utumishi wa Umma ths July lakin bado Wasira anajaza fomu kuomba kazi.…


' Mpunga usiokauka mchana wa jua kali utakauka kwa jua la Alasiri?
Kumbe wewe ni mzee kabisa? Kwa mapambio yako nilifikiri upo uvccm! Kuna wazee wapumbav sana aisee!
 
nauliza ubunge unautamu gani haswa!!
ni posho nono tu, au kuna jingine?!
kuna haja ya kufanya utafiti maaana sio kwa vikumbo hivi vya kugombea ubunge ni hatari sana!
nashauri kama ni posho na marupurupu ya ubunge ndio sababu basi kuna haja ya kupinguza posho na marupurupu ili tupate wayumishi wazalendo
 
Hasomi arama za nyakati,hajajua kama hatakiwa,teuzi zote hizi hajapewa hata ukatibu Tarafa
 
Back
Top Bottom