wewe humjui kanumba
Wadau naomba msinielewe vibaya kuhusiana na hii thready, ni kutaka kumjua star wangu wa bongo mimi ni mtanzania halisi kwahiyo sina nia mbaya na bwana Kanumba na kama yuko hapa basi awe mvumilivu.
Tukichukulia mfano wa star kama huyu P.didy angalia profile yake:
Birth NameSean John Combs
[h=3]Birth Date[/h]November 04, 1969
[h=3]Birth Place[/h]New York, New York, USA
[h=3]Height[/h]5' 11"
[h=3]Nationality[/h]American
[h=3]Education[/h]
[h=2]P. Diddy Family[/h]
- Graduated from the Roman Catholic Mount Saint Michael Academy in Bronx in 1987
- Attended Howard University in Washington, D.C., majored in Bussiness
[h=3]Father[/h]Melvin Combs (d. 1972)
[h=3]Mother[/h]Janice Combs
[h=3]Sister[/h]Keisha Combs
[h=3]Relation[/h]Misa Hylton-Brim (stylist), Jennifer Lopez (singer, 1999 - 2001), Kim Porter (model, 1997 - Jul 2007), Sarah Chapman
[h=3]Son[/h]Justin Combs (b. 1994), Christian Casey Combs (b. 1997)
[h=3]Daughter[/h]D'Lila Star, Jessie James (twins, b. 21-Dec-06), Chance (b. 2006)
Kwani wewe ni nani??Sipati picha siku wadau humu wakitaka kujua profile yangu, maana wengi hawajui hii ID ya Tegelezeni inatumiwa na mtu maarufu na mwenye makeke hapa nchini................LOL
Kina Kanumba wanaogopa nini kuweka profile zao mezani wapenzi wa filamu zao wakawajua kiundani kama hawa mastar wa nje?