Steven Kanumba Profile

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Wakuu nilikua ninahamu sana ya kupata full pofile ya huyu star wa bongo bwana Steven Kanumba, nimekwenda kwenye Blog yake nikakuta hivi katika kutafuta full profile yake:

About me!
On Blogger since January 2010

Profile views - 11139

Naona kaibadilisha, ile ya zamani alijieleza saana kuhusu ilmu yake ya seminary, lakini ya sasa hivi hajazungumzia kabisa ilmu yake.
Hebu tusubiri wadau waje kutumwagia hapa
 
Tukichukulia mfano wa star kama huyu P.didy angalia profile yake:

Birth NameSean John Combs

[h=3]Birth Date[/h]November 04, 1969

[h=3]Birth Place[/h]New York, New York, USA

[h=3]Height[/h]5' 11"

[h=3]Nationality[/h]American

[h=3]Education[/h]
  • Graduated from the Roman Catholic Mount Saint Michael Academy in Bronx in 1987
  • Attended Howard University in Washington, D.C., majored in Bussiness
[h=2]P. Diddy Family[/h]
[h=3]Father[/h]Melvin Combs (d. 1972)

[h=3]Mother[/h]Janice Combs

[h=3]Sister[/h]Keisha Combs

[h=3]Relation[/h]Misa Hylton-Brim (stylist), Jennifer Lopez (singer, 1999 - 2001), Kim Porter (model, 1997 - Jul 2007), Sarah Chapman

[h=3]Son[/h]Justin Combs (b. 1994), Christian Casey Combs (b. 1997)

[h=3]Daughter[/h]D'Lila Star, Jessie James (twins, b. 21-Dec-06), Chance (b. 2006)
 
Kina Kanumba wanaogopa nini kuweka profile zao mezani wapenzi wa filamu zao wakawajua kiundani kama hawa mastar wa nje?
 
Sipati picha siku wadau humu wakitaka kujua profile yangu, maana wengi hawajui hii ID ya Tegelezeni inatumiwa na mtu maarufu na mwenye makeke hapa nchini................LOL
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Wadau naomba msinielewe vibaya kuhusiana na hii thready, ni kutaka kumjua star wangu wa bongo mimi ni mtanzania halisi kwahiyo sina nia mbaya na bwana Kanumba na kama yuko hapa basi awe mvumilivu.
 
Wadau naomba msinielewe vibaya kuhusiana na hii thready, ni kutaka kumjua star wangu wa bongo mimi ni mtanzania halisi kwahiyo sina nia mbaya na bwana Kanumba na kama yuko hapa basi awe mvumilivu.

anaogopa kusema alikuwa anachunga ng'ombe shinyanga na mgolole
 
Tukichukulia mfano wa star kama huyu P.didy angalia profile yake:

Birth NameSean John Combs

[h=3]Birth Date[/h]November 04, 1969

[h=3]Birth Place[/h]New York, New York, USA

[h=3]Height[/h]5' 11"

[h=3]Nationality[/h]American

[h=3]Education[/h]
  • Graduated from the Roman Catholic Mount Saint Michael Academy in Bronx in 1987
  • Attended Howard University in Washington, D.C., majored in Bussiness
[h=2]P. Diddy Family[/h]
[h=3]Father[/h]Melvin Combs (d. 1972)

[h=3]Mother[/h]Janice Combs

[h=3]Sister[/h]Keisha Combs

[h=3]Relation[/h]Misa Hylton-Brim (stylist), Jennifer Lopez (singer, 1999 - 2001), Kim Porter (model, 1997 - Jul 2007), Sarah Chapman

[h=3]Son[/h]Justin Combs (b. 1994), Christian Casey Combs (b. 1997)

[h=3]Daughter[/h]D'Lila Star, Jessie James (twins, b. 21-Dec-06), Chance (b. 2006)

Da Misa Hylton daaaaaa nakumbuka kwenye video ya Notorious BIG Big poppa pdiddy alikua anamlazimisha kumkisi pale kwenye jacuzzi then wakagonga cheers da demu alikua mkali kipindi kile mdogo now naona ukali umechuja kidogo
 
Kanumba baada ya kufeli f 4 pale Neruka secondary Mbagala Dar es salaam,alikutana na Mr Mtitu wa First Game quality ambae ni Producer na movie director ambae alimwombea kwa ndugu Cresent Mhenga kiongozi wa Kaole Group wa wakati huo afundishwe kuigiza na apewe episodes ktk michezo ya kaole iliyokuwa inarushwa na ITV.Zaidi ya secondary anajasoma popote.nimework na fist game quality na kaole kwa miaka zaid ya 4 so I know these guys tokea mwaka 47
 
Sipati picha siku wadau humu wakitaka kujua profile yangu, maana wengi hawajui hii ID ya Tegelezeni inatumiwa na mtu maarufu na mwenye makeke hapa nchini................LOL
Kwani wewe ni nani??
 
Hii hapa. . . .
Info zaidi chungulia Kanumba, The Great

Steven Charles Kanumba (born January 8, 1984), is a multi award winning Tanzanian actor, with a career spanning more* than a decade. Kanumba has received numerous awards, including; Best Actor of the Year, 2006, Best Actor in Tanzania Award, 2007, Best Artist of the Year* Award, 2007/2008.

Kanumba began acting at an early age, acting in as many church plays as he could, until he had the opportunity after leaving school to act and train with the Kaole Sanaa Group and receive special training with Dr Nyoni at the University of Dar es Salaam which served as a* major stepping stone for his mainstream acting career.

Kanumba began his acting career with appearances in a host of local Tanzanian soap operas like, Jahazi, Dira and Tufani just to name a few. He then expanded his horizon by venturing into the film industry, his first movie being Haviliki,* which was just the beginning of great journey, for* “The Great”.

Not only is Kanumba a Tanzanian household name, but he's also acted in Nollywood (Nigeria) with some of the greatest names on the Nollywood scene which expanded his career and experience from just being a Tanzanian star to an African star with ambitions of acting in Hollywood.
Having achieved so much before the age of thirty, Kanumba feels that he's only just begun. He looks forward to a long and fruitful career in every area of* the film industry.

Not only is he a successful film star and producer, he is also very active in philanthropy. He has recently been named the OXFAM GROW ambassador for Tanzania.
*
Kanumba extends his love and gratitude to each and everyone that has helped along the way in his career; "first and foremost The Lord God, My Family especially my Mother, Chrissant Mhengga, Kaole Sanaa Group, Mr & Mrs. Mtitu G Game, Sharifa Kalala, Sanura Husein,* Vicent Kigosi, Producers, Directors, Artists, Friends and Loved ones and last but not least my fans all around the world".
 
Kina Kanumba wanaogopa nini kuweka profile zao mezani wapenzi wa filamu zao wakawajua kiundani kama hawa mastar wa nje?

Hawana cha kuweka MKUU!!!
Mtawavua nguo bure si unajua hizi kazi ni kubahatisha tu, au kipaji kama cha Bongo soccer stars ambao hawafundishiki
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom