Steve Nyerere ndiye Musiba mpya?

Steve Nyerere ndiye Musiba mpya?

Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake.

Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi.

Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?

View attachment 1892088
Hii inaonesha jinsi gani çcm wameishiwa ubunifu, wanawatumia wate wenye iq ndogo kuwatetea
 
Le mutuz na Steve nyerere tumewashitukia acheni ufala wenu acheni kula pesa za walipa kodi kwa kazi yenu haramu ya kishetani
 
Steve Nyerere ni msiba wa kitaifa kwa hakika, Hivi ana uhalali wa kinasaba unaohalalisha matumizi ya ubini wa muasisi was taifa hili?... Au anatumia fursa atoke vipi ?🤔
 
Siku hizi wasanii hawafi sana sasa huyu mla rambirambi ameona atakufa njaa imebidi ajiongeze.
 
Umesahau POWER, utakamatwa uwekwe ndani kwa ugaidi wa kukosea jina la General Power.
Baba umesahau nikiliandika kiukweli ukweli mabeyo na vijana wake nitawaweka wapi maana hapa sabaya alikuwa amemsogelea cm chache sana kwa kuongeza ka umbali haina shida.
 
Hivi huyu bwana mdogo kasoma hadi level gani kielimu??

Huwa namuona mweupe sana upstairs...
 
haitokei kwa bahati mbaya..hata juzi,gazeti la uhuru halikukosea wala haiikuwa bahati mbaya...na kwa kuwa bi mkubwa hajui 'beacon za nchi zilipo'..kuna mitambo flan inatestiwa...

Bi mkubwa alianza vizuri kama aliye mtanguliaa...
Anaanza kuharibu kama alivyo anza aliye mtanguli....

Nauona mwisho mbaya wa bi mkubwa....

2025 mbali sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom