Steve Nyerere ndiye Musiba mpya?

Tatizo mwana CCM. Wangekuwa ni chadema. Duuu.... kongole kibao.. Yeye yupo na wana CCM wezake wewe inakuuma nini?
 
Wosia wa mchonga miaka 52 iliyopita(1969)Hakuna kitu kikubwa kama tumbo
 
Steve sio kabisa, huyu tena atamharibia sana Mh. Rais Samia, navyomjua Mh. Rais Samia, hapendi kabisa watu wa tabia kama hizi za Steve, naamini, atapewa ujumbe aacha hizi tabia, sbb zitamharibia Mh. Rais wetu.

Watu aina ya Steve, wana akili ndogo sana, si wa kuwapa platform akupigie debe, hapana. Narudia, i believe Mh. Rais akisikia huyu kijana anapayuka payuka hovyo, atamwambia aache mara moja. Naamini hivyo, Mama Samia hapendi huu upuuzi na tabia kama hizi za Steve. Huyu kijana hafai, atamchafua Mh. Rais kwa kauli zake chafu, kauli zake hazijengi kabisa.
 
Huu ugonjwa sio wa mchezo hata kidogo na ilitakiwa wanaoteuliwa wawe ni watu makini lkn cha ajabu watu wasio makini wanateua wapuuzi ktk jambo lisilo la kipuuzi.
 
Steve sio kabisa, huyu tena atamharibia sana Mh. Rais Samia, navyomjua Mh. Rais Samia, hapendi kabisa watu wa tabia kama hizi za Steve, naamini, atapewa ujumbe aacha hizi tabia, sbb zitamharibia Mh. Rais wetu.

Watu aina ya Steve, wana akili ndogo sana, si wa kuwapa platform akupigie debe, hapana. Narudia, i believe Mh. Rais akisikia huyu kijana anapayuka payuka hovyo, atamwambia aache mara moja. Naamini hivyo, Mama Samia hapendi huu upuuzi na tabia kama hizi za Steve. Huyu kijana hafai, atamchafua Mh. Rais kwa kauli zake chafu, kauli zake hazijengi kabisa.
Haumjui huyo unayemuita 'mama' Samia, yeye na Steve Nyerere wanafanana akili zao na hili halijatokea kwa bahati mbaya.
Unadhani Steve guts anazitoa wapi, kama ilivyokuwa the then King Musiba ndivyo ilivyo kwa King Steve kwa sasa.
Steve ndiyo mvalisha paka kengele wa bi Maushungi.
 
pale ndani kuna kitengo kinachohusika na propaganda and spinning...hizi ndizo kaz zao..kuanzia kwa huko nyuma kwa 'mlevi wa taifa 'nk..
lkn bi mkubwa amekumbushwa juz kujikita kwenye mambo 35 aliyoelekezwa kuyafanyia kazi toka chumba namba 26..next week kuna mambo flan yatatokea..
We

Nashukuru huyu jamaa bado yu hai,mwenzake "hutaki unaacha" sijui wameshamnaniliu!
 
Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake.

Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi.

Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?

View attachment 1892088
Hako kapumbavu sana kanaishi kwa mdomo usikute kamekaa na Le mutuz kubwa jinga ambaye ni rafiki yake mkubwa wakayajenga hayo wapate kula pesa za CCM kwa njia haramu za kishetani
 
Steve sio kabisa, huyu tena atamharibia sana Mh. Rais Samia, navyomjua Mh. Rais Samia, hapendi kabisa watu wa tabia kama hizi za Steve, naamini, atapewa ujumbe aacha hizi tabia, sbb zitamharibia Mh. Rais wetu.

Watu aina ya Steve, wana akili ndogo sana, si wa kuwapa platform akupigie debe, hapana. Narudia, i believe Mh. Rais akisikia huyu kijana anapayuka payuka hovyo, atamwambia aache mara moja. Naamini hivyo, Mama Samia hapendi huu upuuzi na tabia kama hizi za Steve. Huyu kijana hafai, atamchafua Mh. Rais kwa kauli zake chafu, kauli zake hazijengi kabisa.
Unafikiri Steve anafanya kwa bahati mbaya?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Tz bado Sana , hivyi uyu, Stive NYERERE, lipi anaweza ongea na wenye akili? Eti uchumi ,ni uchumi gani , anajua uyu, Eti corona nini ana jua juu ya corona ?

Kumbe mwendazake alipo sema bakin na mavi yenu hakulenga watu wa stendi tu ,bali watu Wengine na wepesi Kama uyu ,maana kumuita stive Nyerere, ni kuabisha jina la baba wa taifa, shame at him
Steve nyerere huwa ni mbumbumbu mkubwa ndiyo maana wenye Akili timamu hukataa chochote kutoka kwake
 
Steve sio kabisa, huyu tena atamharibia sana Mh. Rais Samia, navyomjua Mh. Rais Samia, hapendi kabisa watu wa tabia kama hizi za Steve, naamini, atapewa ujumbe aacha hizi tabia, sbb zitamharibia Mh. Rais wetu.

Watu aina ya Steve, wana akili ndogo sana, si wa kuwapa platform akupigie debe, hapana. Narudia, i believe Mh. Rais akisikia huyu kijana anapayuka payuka hovyo, atamwambia aache mara moja. Naamini hivyo, Mama Samia hapendi huu upuuzi na tabia kama hizi za Steve. Huyu kijana hafai, atamchafua Mh. Rais kwa kauli zake chafu, kauli zake hazijengi kabisa.
Steve nyerere anashinda na Le mutuz kubwa jinga mda mwingi na sasa wamekaa wamebuni mradi haramu wa kula pesa za CCM kwa njia haramu za kishetani
 
Back
Top Bottom