Steve Nyerere ndiye Musiba mpya?

Steve Nyerere ndiye Musiba mpya?

Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake.

Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi.

Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?

View attachment 1892088
Tatizo ni vyombo vya habari, kweli huyu mjinga anaitisha press conference na watu na degree zao wanaenda kumsikiliza na kumpa nafasi, kwanza huyu mjinga ni nani kwenye nchi hii?kazi yake inayojulikana ni ukuwadi, ni kijitu cha kupuuziwa.Sh....zi yake.
 
Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake.

Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi.

Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?

View attachment 1892088
Kibaraka wa udikteta wa CCM. bila shaka yuko kwenye payroll kama alivyokuwa Musiba zamani
 
Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake.

Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi.

Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?

View attachment 1892088
Ukitaka kula hela za ccm ni rahisi sana !
 
pale ndani kuna kitengo kinachohusika na propaganda and spinning...hizi ndizo kaz zao..kuanzia kwa huko nyuma kwa 'mlevi wa taifa 'nk..
lkn bi mkubwa amekumbushwa juz kujikita kwenye mambo 35 aliyoelekezwa kuyafanyia kazi toka chumba namba 26..next week kuna mambo flan yatatokea..
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake.

Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi.

Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?

View attachment 1892088
CCM inapenda sana kutumia watu wa ovyo.
 
Hawa vijana wasio na elimu uchuro. Yaani haoni yanayomkuta changudoa mwenzake wa kisiasa Msiba aka Musiba? Nchi mkiwa na vijana wengi kama hawa hata wazee hatung'atuki kwa vile hakuna wa kuwaachia ukanda kama vijana wenyewe wamejaa usaha vichwani kama huyu.
 
pale ndani kuna kitengo kinachohusika na propaganda and spinning...hizi ndizo kaz zao..kuanzia kwa huko nyuma kwa 'mlevi wa taifa 'nk..
lkn bi mkubwa amekumbushwa juz kujikita kwenye mambo 35 aliyoelekezwa kuyafanyia kazi toka chumba namba 26..next week kuna mambo flan yatatokea..

Hivi wewe jamaa ujasusi ulifukuzwa au uliacha? mpaka ukaamua ukimbilie Scotland?
 
Inawezekana Ila wote ni wepesi mno,aliyemtuma na aliyetumwa..
Afadhali JK alimtumia Nape.
 
Huyu ndio anasababisha watu wafupi kutukanwa kwa kuonekana akili zao nazo ni fupi kama walivyo wao wenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom