Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake
Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni...anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi....
Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?View attachment 1892088

Kila Masika Na Mbu Wake 😂🤣😅Kila zama na chawa wake🤣🤸🐒
Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake
Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni...anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi....
Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?View attachment 1892088
Kanaongea kama kana mamlaka fulani, anyway kitaeleweka mbele ya safari......potential candidates anzeni kupanga timu zenu, hakuna kuburuza miguu...
Balozi wa Corona ata barakoa havai walio mzunguka pembeni wamevaa..! Baloz si lazma awe mfano??? Wenye cv ya shule yake tupen iaeeNaona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake.
Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi.
Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?
View attachment 1892088
Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake.

Yeye ni Baloz wa corona lakin havai barakoa, wapemben mwake wote wamevaa... Sijui Kama anaelewa vizuri hii Kaz aliyopewa.Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake.
Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi.
Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?
View attachment 1892088
Mshana achana na huyu Jini misibaNaona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake.
Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi.
Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?
View attachment 1892088
Naibu mwenez atakuwaMshana achana na huyu Jini misiba
Kwasababu gani sio kijana?UDC UNATAFUTWA KWA GUVU SANA, OVERALL HUYU SIYO KIJANA. UNAKUWAJE BALOZI WAKATI UMEIANZA LUGHA ZA UBAGUZI
Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake.
Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi.
Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?
View attachment 1892088
Ogopa sana mpuuzi akiwa na njaa. Upuuzi wake hugeuka kuwa janga kwa wengine.
Hivi hana hata hizi fomu fooKinachomponza ni kukosa shule hata ya kuzugia,angeshapewa pa kujishikiza na Bimkubwa.
Angeuliza MUSIBA njia anayopitiaNaona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake.