kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,625
- 12,172
Usikute ni wale wanaojua tu kusoma na kuandika! Sishangai, Msukuma alisimama bungeni kwa kujiamini na kusema "tunaipita Kenya na kila kitu " anajua maana ya GDP?
Anatajwa kama ofisa wa ikulu
Kwa ccm hata kama wewe unamtafutia mkuu Waganga wa kumzindika, moja kwa moja unakuwa ofisa wa IkuluUsikute ni wale wanaojua tu kusoma na kuandika! Sishangai, Msukuma alisimama bungeni kwa kujiamini na kusema "tunaipita Kenya na kila kitu " anajua maana ya GDP?
Maigizo mengiTulikofikia nchi imekuwa ni bongo movie tupu..!!
Ilikuwaje akawa ofisa wa IkuluAnatajwa kama ofisa wa ikulu
Hilo ndilo swali la wengiIlikuwaje akawa ofisa wa Ikulu
Imam wetu kipenzi mkombozi wa waislamu alijitahidi sana. Kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu siyo Jambo Rahis.Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.
Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',