Steve Nyerere anafanya ushamba wa Chadema kumshambulia mtu yeyote mwenye mawazo tofauti. Kama CPA Amos Makalla, Mwenezi CCM Taifa amemtakia kila la heri, huyu Steve Nyerere ana mamlaka gani ya kwenda kinyume na Msemaji wa CCM Taifa?Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.
Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',
huyu ni Mengele sio Nyerere. point of correction.Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.
Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',
huo ni upotoshaji wa wazi kabisa mtumishi, na si sawa hata kidogo.Tulikofikia nchi imekuwa ni bongo movie tupu..!!
Hivi mabumunda ya aina hii huwa wanayaokota wapi?Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.
Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',
Duuh kwa hiyo hayo ndo majibu katumwa aje ajibu na analipwa kwa kujibu hivyo?Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.
Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',
Ni ndugu hao.Usiwatilie maanani.Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.
Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',
Hakuna kitu kama Nyerere hapo. ni Pumba za Mengele na makelele!Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.
Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',
WtfImam wetu kipenzi mkombozi wa waislamu alijitahidi sana. Kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu siyo Jambo Rahis.
View attachment 3407352
View attachment 3407354
adriz Al-mukheef Wakili Mufti kuku The Infinity
Mengele wa njombe huyu anafurahishaNi mengele sio nyerere
Think tank sio?Unaambiwa huyu ndio tegemeo la awamu ya 6
Mkuu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S mkombozi wa waislamu aliuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu. Isingekuwa juhudi zake leo tusingeendelea kusema shahada.
Ila kwa upande wangu naona yeye hastahili licha ya kwamba amechukua kombe la dunia la vilabu mimi naona wanaostahili ni Yamal na Dembele
Hapana haikuwa hivyo