Steve Nyerere ajibu Mapigo ya Humphrey Polepole

Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.

Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',

Hatari sana, Ikulu imekosa diplomatic na wasomi wengine kujibu ma intellectual kama Polepole,🤔🤔

Steve Nyerere form four failure Eti amjibu Polepole,hii Nchi ni mufilisi 😅😅🤣🤣
 
Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.

Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',

mimi huyu sitamjadili, nitapitia tu comments kwa sababu najua watanzania watakuwa wamemtendea haki kwenye kumjibu.
 
Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.

Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',

Hako steve Nyerere ni chawaccm ni mojawapo ya vilaza wanaotumika kuitetea ccm kwa njia haramu za kishetani
 
ibirisi wa ccm kuendelea kujitoa fahamu kuwatumia punguani vilaza kama steve Nyerere kujibu hoja kubwa ni Aibu na mnakifanya chama cha ccm kuonekana ni kimbilio la mazwazwa
 
Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.

Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',

Huyu takataka naye anajibu nini? Hana maana katika nchi hii. Ndiyo maana hata jina la Nyerere anakatazwa kutumia na wenye nalo. Mpuuzi huyu hajui lolote. Kwanza kwanini mnamuita Nyerere wakati siyo jina lake, ukoo wa Nyerere hawana watu wajinga kama huyu. Mwiteni Steven Samia kama alivyosema.
 
Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.

Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',

Kajibu nini hapo zaidi ya kuweka ktk picha kuachia ngazi kwa polepole?
 
Back
Top Bottom