Steve Nyerere ajibu Mapigo ya Humphrey Polepole

Steve Nyerere ajibu Mapigo ya Humphrey Polepole

Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.

Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',

Kwa nini dereva mpya asisimamishe gari kwa ajili ya kuchimba dawa na kula chakula?
 
Kajamaa ka hovyo kabisa eti kanajiona ni nyerere eti
 
Mwandidhi mwenyewe ni tatizo, yaani hapa nchini kashindwa kuhoji akina Kagasheki, Warioba, Butiku, Mwandosya - anahoji Steve!!!!!
 
Ila hii inchi ina vichekesho sana...elimu siyo jambo la msingi tena.
 
Hakuna hata kijana mmoja pale CCM ambaye unaweza kumsikiliza wote wanaongea pumba.
 
Siku wakiwa viongoz mzee mwanya nashauri uendeleze majungu hivi hivi
 
huo ni upotoshaji wa wazi kabisa mtumishi, na si sawa hata kidogo.

ni vizur kumshukuru Mungu kwa kila jambo bila unafiki na kujivika utakatifu 🐒
😹😹😹 Tena wewe ukiwa mmojawapo..!!
 
Kuna vitu ndugu zang wakati tunaishi bila kujali umeapata bahati ya kusogelea meza kivipi, vilivyo nje ya upeo wako kaa kimia, uyu Bwana mdogo Steve ajiangalie sana ,kesho yetu ni fumbo mno,
Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.

Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',

 
Kakojoe ulale usije kuniambukiza uchawa..!! 😏
kumbe bado mambo hayo ya kizamani yapo karne hii?

hata hivyo,
mimi naambukiza ukarimu, unyenyekevu, bidii, huruma, upendo, ustahimilivu, subra n.k tu 🐒
 
Back
Top Bottom