Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,569
- 95,219
We mpopo unanichosha bhana acha kunijibukumbe bado mambo hayo ya kizamani yapo karne hii?
hata hivyo,
mimi naambukiza ukarimu, unyenyekevu, bidii, huruma, upendo, ustahimilivu, subra n.k tu š
We mpopo unanichosha bhana acha kunijibukumbe bado mambo hayo ya kizamani yapo karne hii?
hata hivyo,
mimi naambukiza ukarimu, unyenyekevu, bidii, huruma, upendo, ustahimilivu, subra n.k tu š
mie naeleza mambo ya msingi tu wala sikujibu chocolate mbona šWe mpopo unanichosha bhana acha kunijibu
Hahahaha anamhoji Steve mangele!!!!!Mwandidhi mwenyewe ni tatizo, yaani hapa nchini kashindwa kuhoji akina Kagasheki, Warioba, Butiku, Mwandosya - anahoji Steve!!!!!
Siku hizi kuita press imekuwa jambo rahisi sana.Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.
Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',
Kilaza vs high IQ..... God have a mercy on us šHuyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.
Msome anavyomchambua Polepole.
==========
Polepole hakuwa mwenzetu, ni konda wa dereva wa zamani, huyu dereva mpya hamjui, zikaanza kelele za mbwa mwitu..',
Heeh...!Unaambiwa huyu ndio tegemeo la awamu ya 6