Stephen Hawking's alipatwa na ugonjwa gani ule?

Huyu jamaa si ndio alikuwa na nadharia yake kuwa hakuna Mungu!...

Sent using Jamii Forums mobile app
hicho ndio chanzo ugonjwa,pigo la MUNGU
fuatiria waliokebehi uwepo wa mungu walivyokufa
mfano aliyetengeneza meli ya titanic aliwahi kuulizwa meli lote hilo aliwezi kuzama alijibu hata mungu hawezi kuizamisha kilichotokea ni historia
 
Kilaza wewe duniani hakuna meli inayoitwa Titanic...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawking's cause of death was likely amyotrophic lateral sclerosis, or ALS, a neurodegenerative disease that wears away at nerve and muscle function over time.

is also known as Lou Gehrig's disease.
 
kumbe huyu babu ndiye alikuwa anamuharibu mtu wa Mungu Kiranga.
Ni aibu kwa kiumbe kumdharau muumba kwa kurubuniwa na kiumbe mwenzake mgonjwa.
Watu wengi tu ukiacha huyo Stephen hawaamini hizo nadharia kuwa kuna Mungu,
Jifunzeni kuheshimu mitazamo ya watu wanaotofautiana na nyie.

Maana hao wasioamini ndio kwanza wamefanya ugunduzi uliobadilisha maisha ya mwanadamu na kuyarahisisha kuliko hao wanaoamini
 
hicho ndio chanzo ugonjwa,pigo la MUNGU
fuatiria waliokebehi uwepo wa mungu walivyokufa
mfano aliyetengeneza meli ya titanic aliwahi kuulizwa meli lote hilo aliwezi kuzama alijibu hata mungu hawezi kuizamisha kilichotokea ni historia

Nilitegemea hoja hii lazima itatupiwa na mmoja kati ya wafia dini.
Kweli dini hizi zimewaharibu sana. Ina maana angesema Mungu yupo asingeugua?? Mbona maaskofu, manabii na masheikh wenu wanaugua wakati hawapitishi siku bila kupiga kampeni ya kusisitiza uwepo wa Mungu??....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi tu ukiacha huyo Stephen hawaamini hizo nadharia kuwa kuna Mungu,
Jifunzeni kuheshimu imani za watu wanaotofautiana na nyie.

Maana hao wasioamini ndio kwanza wamefanya ugunduzi uliobadilisha maisha ya mwanadamu na kuyarahisisha kuliko hao wanaoamini
Imani ya kuamini mungu hayupo ni uchizi.
Hata kama umesoma elimu yote ya dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitegemea hoja hii lazima itatupiwa na mmoja kati ya wafia dini.
Kweli dini hizi zimewaharibu sana. Ina maana angesema Mungu yupo asingeugua?? Mbona maaskofu, manabii na masheikh wenu wanaugua wakati hawapitishi siku bila kupiga kampeni ya kusisitiza uwepo wa Mungu??....

Sent using Jamii Forums mobile app
NA WEWE HAPO ULIPO SEMA KWA SAUTI KUBWA KUWA HAKUNA MUNGU ANGALAU AKUSIKIE MTU MMOJA TU
 
Wakuu nimejaribu kupitia you tube nimemuona yule bwana stephen mwalimu wa Kiranga.

Huyu bwana nilipomuangalia mara ya mwanzo nilijua kwamba labda ule mwili wamemfanyia maonyesho tu kutokana na ukubwa wake.kumbe ndio yeye hana aliwezalo yupo yupo tu.

Alipararaizi au alipatwa na ugonjwa gani ambao wazungu walishindwa kuutibu?

ALS, muscles hazifanyi kazi na hauna dawa
 
Mambo mengine nikujaza servers za JF pasi sababu za msingi, kama umeweza kundika humu umeshindwa nini kugoogle mwenyewe. JF members wengine ni bogus kabisa
 
Unaandika kama vile yuko hai wakati ameshafariki kwa Taarifa yako huo Ugonjwa kaishi nao kwa miaka zaidi ya 50. Pamoja na Changamoto zote haukumzuia kuwa mija ya Manguli wa science duniani.
Wakuu nimejaribu kupitia you tube nimemuona yule bwana stephen mwalimu wa Kiranga.

Huyu bwana nilipomuangalia mara ya mwanzo nilijua kwamba labda ule mwili wamemfanyia maonyesho tu kutokana na ukubwa wake.kumbe ndio yeye hana aliwezalo yupo yupo tu.

Alipararaizi au alipatwa na ugonjwa gani ambao wazungu walishindwa kuutibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom