Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,118
- 4,783
Kuna ugonjwa usiokuwa na dawa ?
Ukimwi, kansa, als etc
Kuna ugonjwa usiokuwa na dawa ?
mfundishe kiranga kwanza aamini kuwa huo msimamo wake unaojengwa na hao wazee ni 'IMANI' maana hilo huwa hakubali.Watu wengi tu ukiacha huyo Stephen hawaamini hizo nadharia kuwa kuna Mungu,
Jifunzeni kuheshimu imani za watu wanaotofautiana na nyie.
Maana hao wasioamini ndio kwanza wamefanya ugunduzi uliobadilisha maisha ya mwanadamu na kuyarahisisha kuliko hao wanaoamini
Tukianza na maana ya imani ni nini, kuamini ni kukubali kuwa kitu kipo bila kuwa na uthibitisho, so mtu kama haamini ina maana hana imani, nyie mnaoamini Mkungu yupo ndio mna imanimfundishe kiranga kwanza aamini kuwa huo msimamo wake unaojengwa na hao wazee ni 'IMANI' maana hilo huwa hakubali.
ili tuanze kumshawishi atoke kwenye imani ya '' hakuna Mungu'' aje kwenye imani ya ''Kuna Mungu''.
wasifiche imani zao kwenye migongo ya sayansi.
Hicho ndio cha Muhimu kabla kipengele cha heshima.
Hahaha, kwamba ni empty set?Kipindi cha mwanzo nilikuwa namuona kiranga kama Genius baada ya muda nikamuona ni mweupe kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Stori imeanzia katikati kwenye matawi. Hao ulowataja ndiyo kina nani tuunge dots tuchangie.Wakuu nimejaribu kupitia you tube nimemuona yule bwana stephen mwalimu wa Kiranga.
Huyu bwana nilipomuangalia mara ya mwanzo nilijua kwamba labda ule mwili wamemfanyia maonyesho tu kutokana na ukubwa wake.kumbe ndio yeye hana aliwezalo yupo yupo tu.
Alipararaizi au alipatwa na ugonjwa gani ambao wazungu walishindwa kuutibu?
Kutokuamini A inaimply unaamini B.Tukianza na maana ya imani ni nini, kuamini ni kukubali kuwa kitu kipo bila kuwa na uthibitisho, so mtu kama haamini ina maana hana imani, nyie mnaoamini Mkungu yupo ndio mna imani
Unajua maana ya kuamini? Katafute kwenye kamusi kwanzaKutokuamini A inaimply unaamini B.
Kutoamini Uwepo wa Mungu maana yake unaamini Kutokuwepo kwake.
Kama jamaa wanavyoamini na kuaminishana kuwa Hakuna Mungu.
mimi nimekupa maana ya kwenye kitabu cha imani Bibilia.Unajua maana ya kuamini? Katafute kwenye kamusi kwanza
na hiyo maana kwenye biblia inaemaje exactly..?mimi nimekupa maana ya kwenye kitabu cha imani Bibilia.
Kamusi ipi maana kamusi zipo nyingi za kila lugha na kila moja inamaana tofautitofauti.
Wakuu nimejaribu kupitia you tube nimemuona yule bwana stephen mwalimu wa Kiranga.
Huyu bwana nilipomuangalia mara ya mwanzo nilijua kwamba labda ule mwili wamemfanyia maonyesho tu kutokana na ukubwa wake.kumbe ndio yeye hana aliwezalo yupo yupo tu.
Alipararaizi au alipatwa na ugonjwa gani ambao wazungu walishindwa kuutibu?
We mjinga ktoamini mungu sio iman.Imani ya kuamini mungu hayupo ni uchizi.
Hata kama umesoma elimu yote ya dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nikisema siamini kama kiranga amekufa wewe ili ukanushe utasemaje?We mjinga ktoamini mungu sio iman.
au ndo unataka kutumbia kipara ni style ya kusuka?.
Cc kiranga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann unataka tuamin nasio kujua?Mimi nikisema siamini kama kiranga amekufa wewe ili ukanushe utasemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app