Stella Manyanya acha unafiki wa kujipendekeza

Stella Manyanya acha unafiki wa kujipendekeza

Wanawake siyo wa kuwaamini mi nashangaa sijui kwa nini huwa wanapigiwa kura za ubunge. Walituangusha bustanini mpaka leo tunawakumbatia tuu. Waje watotoe kwa uchungu sie tufanye kazi waache kuingilia majukumu ya wengine.
Shame on them

Then Tanzania INA wanawake 99% coz hata hao wanaume ni aibu tupu hata kusema ni viongozi wako
 
Unafiki mbaya!!!!! sasa mbona hawakumchagua yule mama CUF?
 
Afu katika akina mama waliopo ccm ambao naona hamnazo ni pamoja na huyu mama akifuatiwa na jensta mhagama. Always wanaposimama na kuongea ni unafiki na kujipendekeza tu. Hata Sofia simba aliyetimuliwa ndo wale wale tu. Afu wa nataka nafasi za upendeleo hamna kitu kabisa.
 
Kapumbavu na ndo maana kafupi.engineer gani rukwa hakufanya lolote??
 
Si ujitokeze wewe kumtetea, kwanini unalazimisha mtu ufanya hayo!? Kwani waliandikishiana kuteteana ni lazima mtu akitendwa kitu!? Siasa hiyo kama unaumia basi utaumia zaidi.
Sias haitaki hasira wala visasi!
 
Acheni chuki binafsi kwa mama yangu stella ,electrical engineer
 
itakuwa cheti chake ni nyapu.

Kwa aina hii ya mijadala imethibitika bila tone la mashaka kuwa CHADEMA haipo tena.Rudisheni vichwa vyenye akili mlivyopoteza mjenge hoja.Mkikosa majibu mnaleta matusi.Hata mwenyekiti wenu hawezi kuhoji elimu ya Jenista.

Jibuni hoja alizowasilisha.
 
Stella Manyanya jana anadai anauchungu kuzungumza CHADEMA hawakuzingatia jinsia? Leo anajua kutetea wanawake? Mbona hatukumsikia akisimama kumtetea mwanamke Mwenyekiti wa wanawake CCM Taifa Sofia Simba, aliyefukuzwa uanachama, tena kwa kosa sawa kabisa na wenzie, manake kama ni kutoka nje kupinga maamuzi ya Kamati Kuu wakati wa kumtafuta mgombea wa urais2015, mama huyu hakuwa pekeyake, mbaya zaidi wote aliotoka nao Kimbisa kasamehewa, Nchimbi kapewa onyo kali, ila huyu mama na wabunge wengine wanawake hakuna hata mmoja hata kujitokeza hadharani kumpa pole.

Tukumbuke mama Simba alikua anaongoza wanawake viti maalum zaidi ya 100 bungeni, lakini hakuna aliyejitokeza, leo Manyanya anatuigizia kanakwamba demokrasia ya vyama vingine inamgusa ambao kimsingi hoja yake dhaifu, ni unafiki wa hali ya juu kuwai kuonekana. Yani watu kama yeye hawafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi. Taifa halihitaji watu hawa. Angeonekana wamaana sana japo hata kama Sofia Simba alifanya makosa ambayo hatuyajui, basi tungeona ata akijitokeza kutoa pole.
Hoja yako mkuu haina mshiko. Kulikuwa hakuna huusiano wowote wa Sofia Simba kufukuzwa CCM na jinsia yake.
Ramadhan Madabida naye alifukuzwa!!
 
Huyu Naibu wa wizara ya elimu kwanini asione uchungu wa Bashite kufoji vyeti? Pumba kabisa.
 
Wakati Ghana Wanazindua Kampeni Ya "Wilaya Moja Kiwanda Kimoja" Tanzania tunazindua Mbio Za Mwenge Utakaopita Kila Wilaya!!
Kwani ile helikopta tuliovumba tanzania imefikia wapi?
 
injinia wa kukata viuno nilimuona kwenye mkutano mmoja wa ziara ya pm huku songea alikaribishwa jukwaani alikuwa amevaa kigauni kifupi na kuanza kukata mauno
D u u !
Ni kweli hiyo,au chuki tu ?
 
Afu katika akina mama waliopo ccm ambao naona hamnazo ni pamoja na huyu mama akifuatiwa na jensta mhagama. Always wanaposimama na kuongea ni unafiki na kujipendekeza tu. Hata Sofia simba aliyetimuliwa ndo wale wale tu. Afu wa nataka nafasi za upendeleo hamna kitu kabisa.
Mwanamke yeyote hasa wa kiafrika hawa wa elimu/degree za c.h.u.p.i, achana nao. Usishindane nae na udhaifu wa wanaume kwenye K!
 
Kuna mtu aliniambia hana shahada ya Uhandisi, ila alisoma pale DIT enzi hizo ikiitwa DAR TECH ambapo chuo kilikuwa kinatoa FTC na dipolama.
Ah ! Mwambieni asichezee taaluma za watu.
 
k


kwani wewe dada zako hawapumuliwi. ? ukishakuwa mwanamke kupumuliwa ni jambo la kawaida
Kama mama yako alivyopumuliwa ukazaliwa, au nimekutukana, nadhani hapana..... maana umesema mwanamke kupumuliwa ni lazima!
 
Acha pumba sophia simba kosa lake sio kupinga maamuzi kama unavyodhani tatizo alikua anavaa hijabu na kwenda kule masaki kwa mamvi tena picha zake na saut yake ndio zimemfukuza
Kwani kwenda kule ndio kosa? Na mkulu alivyomteua Mrema, akaja Kitila yeye hana nongwa!!
 
Back
Top Bottom