Stella Manyanya acha unafiki wa kujipendekeza

Kama kweli kwa nini kwenye uchaguzi mkuu hakumpigia kampeni mama Anna Mgwira wa ACT?leo anajifanya ana uchungu na akina mama wa CHADEMA mnafiki mkubwa wewe.
Eti ana uchungu kuliko Mh HM
 
Mleta uzi mboyoyo kweli. Nafasi ya Sofia Simba ipo na itajazwa na mwanamke
Haongelei kujaza nafasi chizi wewe, anakuambia alishindwa kumtetea au hata kumpa pole SS alipopatwa na kazia. Leo anawatetea wanawake wa CDM!! Amelogwa
 
Kwa aina hii ya mijadala imethibitika bila tone la mashaka kuwa CHADEMA haipo tena.Rudisheni vichwa vyenye akili mlivyopoteza mjenge hoja.Mkikosa majibu mnaleta matusi.Hata mwenyekiti wenu hawezi kuhoji elimu ya Jenista.

Jibuni hoja alizowasilisha.
Zile hoja au vihoja? Kweli hoja huzijui wewe, Katiba mpy, Elimu, mikataba ya madini na gas jaribu kuongelea hayo uko uliko. Sio ulete ngonjela za jinsia kwa CDM, jinsia kama wakina Esther Wasira, au Chiku abwao si ni bora nafasi zikaachwa wazi tu.
 
Labuda ni engineer wa kuunga nyanya vizuri that's why ni engineer manyanya
 
Stella Manyanya jana anadai anauchungu kuzungumza CHADEMA hawakuzingatia jinsia? Leo anajua kutetea wanawake? Mbona hatukumsikia akisimama kumtetea mwanamke Mwenyekiti wa wanawake CCM Taifa Sofia Simba, aliyefukuzwa uanachama, tena kwa kosa sawa kabisa na wenzie, manake kama ni kutoka nje kupinga maamuzi ya Kamati Kuu wakati wa kumtafuta mgombea wa urais2015, mama huyu hakuwa pekeyake, mbaya zaidi wote aliotoka nao Kimbisa kasamehewa, Nchimbi kapewa onyo kali, ila huyu mama na wabunge wengine wanawake hakuna hata mmoja hata kujitokeza hadharani kumpa pole.

Tukumbuke mama Simba alikua anaongoza wanawake viti maalum zaidi ya 100 bungeni, lakini hakuna aliyejitokeza, leo Manyanya anatuigizia kanakwamba demokrasia ya vyama vingine inamgusa ambao kimsingi hoja yake dhaifu, ni unafiki wa hali ya juu kuwai kuonekana. Yani watu kama yeye hawafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi. Taifa halihitaji watu hawa. Angeonekana wamaana sana japo hata kama Sofia Simba alifanya makosa ambayo hatuyajui, basi tungeona ata akijitokeza kutoa pole.
Mnafiki tu huyu, mbona hakumtetea Asha Rose Migiro ateuliwe kuwa Rais kama tatizo ni jinsia. Hakujitokeza kumfanyia kampeni Ana Mnghwira mwanamke mwenzake awe Rais. Unaa tuu umemjaa.
 
Huyo ni mama wa figisu ndani ya ccm, amemfanyia fitina nchimbi mpaka ameweza , nchimbi mwaka 2015 alienda kutangaza nia jimbo laa nyasa, lakini alipopima upepo akaona ngojaa haache , ajipange mwaka 2020. lakini huyu mama kamfanyia figisu mpaka Nchimbi kapew adhabu ya kuto kugombea nafasi yoyote hadi 2020 . Amefanikisha mbinu yake ya kuwarubuni kamaati kuu ,
Muongo mkubwa, Nchimbi jambazi yule nani asiyemjua?

Kwani vyombo vya habari hamkuviona Nchimbi alivokuwa akimshabikia Lowasa dhidi ya Kikwete na kuimba ..." tuna imani na Lowasa, oyaa oyaa oyaa"...

Acheni unafiki wenu kumpakazia Injinia !
 
Stella Manyanya jana anadai anauchungu kuzungumza CHADEMA hawakuzingatia jinsia? Leo anajua kutetea wanawake? Mbona hatukumsikia akisimama kumtetea mwanamke Mwenyekiti wa wanawake CCM Taifa Sofia Simba, aliyefukuzwa uanachama, tena kwa kosa sawa kabisa na wenzie, manake kama ni kutoka nje kupinga maamuzi ya Kamati Kuu wakati wa kumtafuta mgombea wa urais2015, mama huyu hakuwa pekeyake, mbaya zaidi wote aliotoka nao Kimbisa kasamehewa, Nchimbi kapewa onyo kali, ila huyu mama na wabunge wengine wanawake hakuna hata mmoja hata kujitokeza hadharani kumpa pole.

Tukumbuke mama Simba alikua anaongoza wanawake viti maalum zaidi ya 100 bungeni, lakini hakuna aliyejitokeza, leo Manyanya anatuigizia kanakwamba demokrasia ya vyama vingine inamgusa ambao kimsingi hoja yake dhaifu, ni unafiki wa hali ya juu kuwai kuonekana. Yani watu kama yeye hawafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi. Taifa halihitaji watu hawa. Angeonekana wamaana sana japo hata kama Sofia Simba alifanya makosa ambayo hatuyajui, basi tungeona ata akijitokeza kutoa pole.
Huyu stela mavitunguu ni kanafiki sana
 
Na wewe unaongea ujinga gani sasa ?
 
Kama kila anaekosoa hatakiwi kuwa Na mapungufu basi akina Sumaye, Lowassa, Masha, Mahanga nk waliopo Chadema hivi Sasa hali ya kuwa walikuwamo KWENYE serikali zilizopita Na waliboronga wanatakiwa wakae kimya, Au MTU akiwakosoa Chadema anakuwa tayari hafai
 
Engineer Stela Manyanya akiwa Makamu Mwnkt wa Kamati ya Richmond chini ya Dkt Mwakyembe 2008 iliyomfurumusha Lowassa Chadema walikuwa wanamwita Mwanamke Jasiri , Msomi, Leo hii wanamtukana Hahahahahah!
Ni kweli ni msomi ana FTC!
 
Kwa aina hii ya mijadala imethibitika bila tone la mashaka kuwa CHADEMA haipo tena.Rudisheni vichwa vyenye akili mlivyopoteza mjenge hoja.Mkikosa majibu mnaleta matusi.Hata mwenyekiti wenu hawezi kuhoji elimu ya Jenista.

Jibuni hoja alizowasilisha.
Hoja yako sasa hapa ni ipi we ndama?

uyo jenista katokeaje hapa?sidhani hata kama unajua kinachojadiliwa hapa.
jaribu kuficha upumbavu wako.
 
Wewe kaa kimya. Issue ya Sofia Simba sivyo unavyofikiri Wewe.
Umekariri kwamba kisa ni yeye kutoka nje ya kikao cha kumchagua mgombea Urais.

Sofia aliendeleza siasa chafu za makundi hata baada Magufuli kuapishwa.
Alikanywa Sana vikao vya ndani lakini hakusikia.
Alichokipata ni halali yake.
 
Back
Top Bottom