Stella Manyanya acha unafiki wa kujipendekeza

Huyu fundi mchundo ndio zake kudakia yasiyomuhusu
 
Stella Manyanya jana anadai anauchungu kuzungumza CHADEMA hawakuzingatia jinsia? Leo anajua kutetea wanawake? Mbona hatukumsikia akisimama kumtetea mwanamke Mwenyekiti wa wanawake CCM Taifa Sofia Simba, aliyefukuzwa uanachama, tena kwa kosa sawa kabisa na wenzie, manake kama ni kutoka nje kupinga maamuzi ya Kamati Kuu wakati wa kumtafuta mgombea wa urais2015, mama huyu hakuwa pekeyake, mbaya zaidi wote aliotoka nao Kimbisa kasamehewa, Nchimbi kapewa onyo kali, ila huyu mama na wabunge wengine wanawake hakuna hata mmoja hata kujitokeza hadharani kumpa pole.

Tukumbuke mama Simba alikua anaongoza wanawake viti maalum zaidi ya 100 bungeni, lakini hakuna aliyejitokeza, leo Manyanya anatuigizia kanakwamba demokrasia ya vyama vingine inamgusa ambao kimsingi hoja yake dhaifu, ni unafiki wa hali ya juu kuwai kuonekana. Yani watu kama yeye hawafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi. Taifa halihitaji watu hawa. Angeonekana wamaana sana japo hata kama Sofia Simba alifanya makosa ambayo hatuyajui, basi tungeona ata akijitokeza kutoa pole.

Eti engineer hahaha dah bongo kuna majinuni sana
 
Acha pumba sophia simba kosa lake sio kupinga maamuzi kama unavyodhani tatizo alikua anavaa hijabu na kwenda kule masaki kwa mamvi tena picha zake na saut yake ndio zimemfukuza
 
Alilenga kuichafua Chadema sio kutetea wanawake,yeye na Mwakyembe wako sawa
 
Kama kweli kwa nini kwenye uchaguzi mkuu hakumpigia kampeni mama Anna Mgwira wa ACT?leo anajifanya ana uchungu na akina mama wa CHADEMA mnafiki mkubwa wewe.
 
Anajua chakula chake kipo wapi asiposema mtamlisha nyinyi, Leo Kitila kaapa sembuse huyo mama kusema hayo aliyoyasema, acheni bana.
 
Ccm wanawake ni janga.hata isemwavyo uchungu wa mwana aujua mzazi,c kwa wazazi wakike walio ccm ! Wako km wagumba wote.utata wa elimu ya nchi yetu,unaosababishwa na serikali ya ccm,nilitegemea wanawake wa ccm hasa ndalichako,walilie uimara wa elimu kwa watt na wajukuu zetu,lakini wao wameridhika kumlinda magufuli,anavyoburura wanafunzi UDOM,kuwanyima mikopo wa elimu ya juu nk,nakushindwa hata kusaidia vifaa,hospitali bora za wanawake kujifungulia hili nalo waziri wake ni mwanamke ! Je hawa,wanadhani watakua walivyo miaka 10 ijayo ? Hawajui watastaafu ? Wataacha nn ktk sheria zihusuro elimu na afya ya uzazi,kwa watt na wajukuu zao?Mungu hii mijike mijinga ya ccm c uihukumu,tushuhudie kabla hatajafa?Mungu nakuamini,hujawahi kutojibu niombayo,nazidi kuomba tena,na hili nakazia kwa wanawake wenye madaraka kupitia ccm.nawanayatumia madaraka yao,kumlinda magufuli,badala ya kulinda zilizo haki za taifa na watu wake ! Naomba kwa kuumia mno Mungu wangu,hukumu yako juu ya kundi hili,ishuhudiwe na kila mwananchi,anayeumizwa na mabaya ya nchi yetu anayowahucsha hawa wanawake wa ccm.nimeomba nikiamini na kuyaachilia haya mikononi mwako,Amen.
 
Alete vyeti vya uEngineer

Kuna mtu aliniambia hana shahada ya Uhandisi, ila alisoma pale DIT enzi hizo ikiitwa DAR TECH ambapo chuo kilikuwa kinatoa FTC na dipolama.
 
Stella Manyanya jana anadai anauchungu kuzungumza CHADEMA hawakuzingatia jinsia? Leo anajua kutetea wanawake? Mbona hatukumsikia akisimama kumtetea mwanamke Mwenyekiti wa wanawake CCM Taifa Sofia Simba, aliyefukuzwa uanachama, tena kwa kosa sawa kabisa na wenzie, manake kama ni kutoka nje kupinga maamuzi ya Kamati Kuu wakati wa kumtafuta mgombea wa urais2015, mama huyu hakuwa pekeyake, mbaya zaidi wote aliotoka nao Kimbisa kasamehewa, Nchimbi kapewa onyo kali, ila huyu mama na wabunge wengine wanawake hakuna hata mmoja hata kujitokeza hadharani kumpa pole.

Tukumbuke mama Simba alikua anaongoza wanawake viti maalum zaidi ya 100 bungeni, lakini hakuna aliyejitokeza, leo Manyanya anatuigizia kanakwamba demokrasia ya vyama vingine inamgusa ambao kimsingi hoja yake dhaifu, ni unafiki wa hali ya juu kuwai kuonekana. Yani watu kama yeye hawafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi. Taifa halihitaji watu hawa. Angeonekana wamaana sana japo hata kama Sofia Simba alifanya makosa ambayo hatuyajui, basi tungeona ata akijitokeza kutoa pole.
Keshajisahau ipo siku litampata
 
Mama Simba alikuwa msaliti ,angemteteaje msaliti?tofautisha mambo ya Simba na kutetea wanawake kwani atakayembadili Simba si atakuwa mwanamke,angekuwa mwanaume na Manyanya angekaa kimya ndio tungemshangaa,ukweli unabaki palepale mumelikoroga kwa ujinga wenu,punguzeni makelele na mjifunze
 
Mleta uzi mboyoyo kweli. Nafasi ya Sofia Simba ipo na itajazwa na mwanamke
 
Stella Manyanya jana anadai anauchungu kuzungumza CHADEMA hawakuzingatia jinsia? Leo anajua kutetea wanawake? Mbona hatukumsikia akisimama kumtetea mwanamke Mwenyekiti wa wanawake CCM Taifa Sofia Simba, aliyefukuzwa uanachama, tena kwa kosa sawa kabisa na wenzie, manake kama ni kutoka nje kupinga maamuzi ya Kamati Kuu wakati wa kumtafuta mgombea wa urais2015, mama huyu hakuwa pekeyake, mbaya zaidi wote aliotoka nao Kimbisa kasamehewa, Nchimbi kapewa onyo kali, ila huyu mama na wabunge wengine wanawake hakuna hata mmoja hata kujitokeza hadharani kumpa pole.

Tukumbuke mama Simba alikua anaongoza wanawake viti maalum zaidi ya 100 bungeni, lakini hakuna aliyejitokeza, leo Manyanya anatuigizia kanakwamba demokrasia ya vyama vingine inamgusa ambao kimsingi hoja yake dhaifu, ni unafiki wa hali ya juu kuwai kuonekana. Yani watu kama yeye hawafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi. Taifa halihitaji watu hawa. Angeonekana wamaana sana japo hata kama Sofia Simba alifanya makosa ambayo hatuyajui, basi tungeona ata akijitokeza kutoa pole.
kumbe hata wewe umeshaona kwamba huenda sofia simba kuna alichofanya kuliko wenzake. sasa unatoa povu jingi la nini kumuandama manyanya eti hajampa hata pole. kwani wewe utajuaje kama kampa pole au hajampa. kwani wewe unafikiri kuacha kumpendekeza hata mwanamama mmoja ni kitu kidogo kwa wanawake. hawa jamaa wako very sensitive kwenye issues za vyeo.
 
Back
Top Bottom