Steering Racing Wheel inapatika wapi kwa Dodoma?

Steering Racing Wheel inapatika wapi kwa Dodoma?

The Eye

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2020
Posts
278
Reaction score
395
Wakuu.

Naulizia sehemu yenye "steering racing wheel games" kwa Dodoma mjini.

Sina gari,nataka niwe napunguza machungu kwenye hizo games.
download.jpeg
 
Dom hakuna,hapo mpaka dar na uandae laki 5-8
 
Daaa mkuu nimecheka kinoma "et sina gari nataka nipunguze machungu"[emoji1787][emoji1787]
 
😄😃😀😅😆🤣😂😆😁😄😄😃😃😃😆😁😁😄😄
Bora Uende Driving School Ukaendeshe Live
Driving school gharama zake zipoje?
 
Nataka nichezee hapo hapo....kumbe pale Royal Village haya madude yapo?
Nenda Royal pale kuna getin tu ghorofan kuna sehem ya kuchezea game inaitwa gamers ukahangaike nayo hiyo
 
Back
Top Bottom