Status..


G

Guasa Amboni

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Messages
7,680
Likes
8,785
Points
280
G

Guasa Amboni

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2015
7,680 8,785 280
Kuna jamaa kaandika
(1)Eloi eloi lama sabaktan
(2)kazi ni kipimo cha utu
(3)At work
Sijui wamepatwa na nini ndugu zangu hawa.
 
G

Guasa Amboni

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Messages
7,680
Likes
8,785
Points
280
G

Guasa Amboni

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2015
7,680 8,785 280
Huyo wa 1 noma inaonekana kaelemewa
Acha mchezo ndugu yangu yaani kuna siku huamua kusoma status za watu nabaki kucheka kuna mmoja kaandika hivi "ndie huyu? ??"sasa mpaka uwe na uwezo wa kufungua akili ndio uelewa hilo puzzle
 
G

Guasa Amboni

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Messages
7,680
Likes
8,785
Points
280
G

Guasa Amboni

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2015
7,680 8,785 280
(1)Kila zama na kitabu chake ila zama hizi! !!
(2)Sijui kama kikombe hiki kitaniepuka! !
(3)Hakuna ajuae saa wala dakika
(4)Jani la kijani lisilicheke la njano
 

Forum statistics

Threads 1,273,858
Members 490,528
Posts 30,493,698